Nimeagizwa dar jamaa anibadilikia baada ya kumfanisha kuwa nishawahi kumuona KATORO GEITA

zakatoro jomba..
vipi ,wapi panahila zahabu?

Lubambe bado yupo? msalimie..
pale kalfonia wapo washkaji

usijali mkuu hapa nibongo Dar es salaam watu wanawakana hadi wazi wao sembuse wewe?

Komaa tu pambana na hali yako mwanawane.
 
zakatoro jomba..
vipi ,wapi panahila zahabu?

Lubambe bado yupo? msalimie..
pale kalfonia wapo washkaji

usijali mkuu hapa nibongo Dar es salaam watu wanawakana hadi wazi wao sembuse wewe?

Komaa tu pambana na hali yako mwanawane.
saiv machimbo meng yamefungwa mkuu

Lubambe yupo kiongoz wangu

Jamaa kanibadilikia mshikaji wangu
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Niko dar toka juz nimeagizwa na mshua kufatilia gar yake kama ishafika bandarin

Nimetembea sehemu nyingi nyingi sana kwa hapa nimeenda sinza, masak na sehemu zingine lakin nimefikia kwa shangaz yangu TABATA BIMA

Sasa leo nimekutana na mshikaj wangu mmoja wa kitambo sana ambaye tumesoma naye huko katoro geita, nikamuita bujiku mambo vp? Za siku bujiku

Jamaa akanipiga jicho la hatar sana akanambia ivi wewe ni kichaa au ni chizi? Nikamwambia kwahiyo umenisahau bujiku? Jamaa akafoka kinoma tembea na yesu wewe achana na mimi sikufahamu

Aisee yaan nimeshangaa sana kumbe watu wakifikiga mjin huwa wanadilika hivyo

Watu wote wakibak wakinitizama huku wakizan mimi ni mtu niliyerukwa na akili

Kesho namalizia mambo yangu kesho kutwa nirud zangu katoro


LONDON BABY
Mkuu usijali kila mtu na yake temana naye tu sema tu kesho unasepa tungeonana kwa mwanamsabira unapapata?
 
Katoro kitaa chetu. Stamico, ccm, calfonia, kilimahewa, mtaa wa afya, nk. Ukifika tukutane kwa mama nassoro tuchome mbuzi.
 
Back
Top Bottom