Nimeachwa na nimekubali, ingawa naumia moyoni

Scenario yako inafanana na yangu kidogo, mi nilimuacha mwanamke ninae mpenda nikiwa bado nampenda kwakua alifanya kosa moja tu ambalo nimejiwekea misingi sitamsamehe yoyote akifanya kosa hilo
Nikamwambia aniweke kwenye list ya watu wake waliokufa na hataniona tena,

kadri alivyokua anazidi kuniomba msamaha ndo jinsi nilivyokua nazidi kumchukia kila neno lake alilosema na yale aliyowahi kuyasema yote nilikua naona ni uongo sikumuamini tena na hata ningeishi nae nisingemuamini maisha yake yote

Alifikiri labda nilikua natania tu au ilikua ni hasira ila huo ndo msimamo wangu licha ya kuwa kweli nilimpenda lakin nimemuacha for my peace, dignity and survival

Mwanzo niliumia sana lakin nimejilazimisha hadi imefikia hatua sina hisia za upendo wowote kwake wala simchukii ila sitamani hata kumuona,

Kwa sasa sina hisia za kumpenda mwanamke yoyote nmekua kama chuma inayotembea.
Alifanya kitendo gani kiovu namna hio?
 
Maake hapo kwanza ncheke 🤣! Hii ngoma ngumu sana babu
Kumbe tupo wengi, japo mimi ni tofauti kidogo.
Nina maumivu nimezaa na binti mmoja, mtoto bado ana umri wa miezi 5 juzi ananiambia nikamchukue anataka kuolewa. Kumbuka nina mke ndani hajui chochote na akijua ndoa inayumba. Maumivu x2, kwanza nampenda binti mpaka nikamzalisha. Pili hilo la mtoto sielewi cha kufanya, na anadai nisipoenda kumchukua atamleta mwenyewe kwangu
 
🤣🤣🤣🤣Waambie ushangazi mwisho mikese
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Shangazi ujipende sio ukae kiboya. Soko lenu lipo msivunjike moyo japo Under 23 wanasumbua
[/QUOTE]
Tunajiachiaje na mchina kaleta vipodozi vimeandikwa ant-wrinkles 🤣🤣?
 
nakuapia atarudi kwaako na kkusema anakupenda tupo aapa ata mwezi hautaisha sasa jichanganye umrudie utaliaa kkwenye iyo ndoa hadi useme poo uyo ana mtu wake kuwa nawe aliisi kama kakoseaa njia, tafuta kipoozeo cha kutuliza machungu uyoo usimtafute lazima arudi kwako akirudi wee chakata mbususu usijitie baba uruma kumuowa
 
nakuapia atarudi kwaako na kkusema anakupenda tupo aapa ata mwezi hautaisha sasa jichanganye umrudie utaliaa kkwenye iyo ndoa hadi useme poo uyo ana mtu wake kuwa nawe aliisi kama kakoseaa njia, tafuta kipoozeo cha kutuliza machungu uyoo usimtafute lazima arudi kwako akirudi wee chakata mbususu usijitie baba uruma kumuowa
Haaa haaa umenikumbusha A. Alianza¹ kuniletea jeuri ya kunibania utamu. Eti bado mapema. Bado mapema wakati hela zangu unakula ( mbona huoni mapema). Nikamchana live,mimi siwezi kuwa nakupa hela halafu nyege anapunguza mwingine. Kakanikaushia kama mwezi hivi. Baada ya hapo kananiita kenyewe nije kula mzigo kila weekend. Mwanamke asikuendeshe
 
Kasharudi mkuu. Kanipigia jana usiku anajichekeleshaa..

Akataka aje kwangu nikamwambia sipo home..

Asubuhi hii tena kapiga ila sijapokea coz nipo Mahakamani.

Acha kukaza fuvu pokea Upendo. Amejifunza ndio maana amerudi.

Mm imenitokea hiyo. Hua inaumiza sana. Muhimu kubalianeni kupeana muda wa kujitafakari kama bado mnahitajiana au lah
 
Back
Top Bottom