Nilivunja Uchumba Wa Rafiki Yangu, Huyo Mwanaume Kaoa Jana Mtu Mwengine!!!!!! Life Must Go On!!!!!

Wazazi tusipeleke mabinti hostel....ndo funzo hapa

for sure nakumbuka hata mimi ilisha nitokea kwa dem wangu wa enzi hizo... day before kuanza chuo tulizinguana dem akaamua kwenda kusoma na maisha yakawa hostel,masiku yakapita tuka ya maliza tukarudiana but nikaja kujua dem wangu alikuwa f**ked na other guy,nilipo muuliza akakili huku akisingizia mitungi..Kiukweli nilishindwa kuvumilia kwasababu kipindi hicho mimi niliamua kuwa single nikiami ipo siku yatakwisha tutarudiana hukunikiami yeye anaamin katika hayo hatukumaliza hata miezi miwili nikavunja nae uhusioano....!!!!
 
That shit really sucks if you are not clean. You know there is a saying that once a cheater always a cheater for instance (And you are one of those advocating this one), So by applying the same principle some people do not want to take the risk of offering a second chance. After all why should they if they can find what they want in abundance?!

Its cowardness, for me still love conquer its all. Kama uko clean and the chemistry fail, nothing will make me stay. All I want to say and make short is.....I don't judge a person for whom he/she was yesterday what matters today. I still give someone a benefit of doubt by offering a 2nd chance, sio wote wanaopitia mabaya they're full in control of what they are doing, there alot of enfluence ambazo zinafikisha mtu akawa malaya/teja/kibaka etc.
 
Mim naamini kama huyo mtu haujapangiwa kuwa nae mpaka kifo kiwatenganishe lazima mtakuja kuachana......

Wangapi wana historia mbaya lakini hawaachwi....huyo hakuwa wake....

Hapo umesema bi dada
Mungu akiandika hakuna ataefuta
 
Its cowardness, for me still love conquer its all. Kama uko clean and the chemistry fail, nothing will make me stay. All I want to say and make short is.....I don't judge a person for whom he/she was yesterday what matters today. I still give someone a benefit of doubt by offering a 2nd chance, sio wote wanaopitia mabaya they're full in control of what they are doing, there alot of enfluence ambazo zinafikisha mtu akawa malaya/teja/kibaka etc.
Vipi wale wenye fursa zote lakini wakaamua kuwa malaya tu kwa sababu wanapenda kuwa hivyo?? Maana naona unaanza kuleta justification za victim of circumstances (Hii inakubalika kwa mtu mwenye akili zake timamu). Rudia kusoma mada uone tunamzungumzia mtu wa aina gani (Hatuzungumzii watu waliobakwa humu!)

Halafu hata kama wewe unaweza kutoa second chance kwa malaya by choice haina maana kila mtu lazima afanye ufanyavyo wewe. Kila mtu na uchaguzi wake na maisha ni kupanga na kuchagua. Upo hapo?
 
sijasema kila mtu ana past chafu,ila kila mtu ana maisha yake ya nyuma

sa we hiyo conclusion yako sijui umeitolea wapi!!!!!!!ni wapi NIMELAZIMISHA!!!!!!!!
Sio wewe pekee, ukisoma mabandiko mengi kutoka kwa wadada humu wanajaribu kuonesha kuwa kila mtu ana past mbovu hivyo ni bora kijana angempa binti nafasi ya pili.

Kwanza mimi sipingi suala la binti kupewa nafasi ya pili, hayo ni maamuzi ya mtu binafsi. Lakini kutaka binti apewe nafasi kwa kudhani kuwa kila mwanamke ana past mbovu sio sawa. Na niliku-quote wewe mwishoni baada ya kupitia post nyingi zinazojaribu kusisitiza kitu kile kile kuwa kila mtu ana past mbovu.

So usipanick mdogo wangu ni muendelezo tu.
 
Acheni kumlaumu bwana ana haki ya kuchagua. Yaani mnataka kijana aendelee kung'ang'ania tu hata kama yeye mwenyewe hajaridhika??!!!

Hakuna anayemlaumu ila binafsi namshangaa tu,huko walikotoka wame share mangapi mpaka leo amuache mwenzie kwa mambo aliyoyafanya enzi hizo? Kweli yale mema yote yaliyomvutia yamekuwa erased na history?
Namhurumia huyo msafi aliyeolewa pia maana kama uchumba ulivunjwa kwa historia basi naye ajiandae tu maana akiteleza kidogo tu afungashe kabla Mr. Clean hajapata habari.
 
Sio wewe pekee, ukisoma mabandiko mengi kutoka kwa wadada humu wanajaribu kuonesha kuwa kila mtu ana past mbovu hivyo ni bora kijana angempa binti nafasi ya pili.

Kwanza mimi sipingi suala la binti kupewa nafasi ya pili, hayo ni maamuzi ya mtu binafsi. Lakini kutaka binti apewe nafasi kwa kudhani kuwa kila mwanamke ana past mbovu sio sawa. Na niliku-quote wewe mwishoni baada ya kupitia post nyingi zinazojaribu kusisitiza kitu kile kile kuwa kila mtu ana past mbovu.

So usipanick mdogo wangu ni muendelezo tu.
Hebu rudia kusoma vizuri mabandiko ya wadada,inawezekana hujayaelewa mengi. Si kweli kuwa kila mwanamke ana past chafu kama ambavyo si sahihi pia kuwa kila mwanaume ana past nzuri. Na hata huo uchafu au usafi pia unategemea mtu na mtu,unaweza ukaweka past yako hapa wengine wakakusikitikia na wengine wakakuona wewe mtakatifu!!!!
Kikubwa kinachopingwa ni kitendo cha huyo kaka kuvunja uchumba kwa mambo yaliyopita,bint kama amebadilika mpaka akavutiwa naye basi alistahili nafasi nyingine.
 
Wazazi tusipeleke mabinti hostel....ndo funzo hapa

hostel ni sumu hostel ni balaa! sasa hizo hostel ambazo zipo off campus yani ndo guest zenyewe! lakini hamna jinsi maana watoto wanatoka up country hawana ndugu hata kama wanao ni lazima wakae hostel. kwa wale wa hapa dar kwa kweli wakae makwao.
 
Eti karma ndo nani?? Nahisi past za huyo demu zitakuwa hizi.
1.aliwahi kukoboa na kusaga
2.amewahi kufanya threesome.
3.aliwahi kutumia ule mtandao wa buzz
4....
Nawaza tu,kama sio hzo kuna pasts gani mbaya zaidi ya hzo??

kwa hawa mademu wa leo kuna ambae hajafanya haya???au mnajipa moyo coz hamjui....ukimchunguza sana bata humli
 
Wanaume wanataka kuowa Malaika.

Alafu wao sio malaika!!!!!!

player anatafuta bikira!!!!!!

Na hao ulio waharibu nani awaoe??????????

Wote malipo ni hapa hapa!!!
every evil thing has its punishment!

Angrrrrrrrrrrrrrrrrrrryyy!!!!
 
hata mi mwenyewe juzi tu nimepiga chini someone I was bleeding inside to have simply because she told at only 25 she has had 5 sexual relationships with her 5 previous boyfriends! I think its normal.

kwani was she your first girlfriend? before her si ulikuwa na relationship nyingine only because thing didn't work out na gals waliopita isn't
 
tatizo mashosti lazima mlingishiane na kuoneshana mi nina jamaa yupo fresh... sasa mashosti mlisoma wote mkafanya ya kufanya, mkakutana ghafla wkt ye ana husband material, halafu akawaalika ili iweje?

halafu we lara 1, we ulialikwa na shost A, na wewe ukabeba shosti B, na shosti B akamualika shosti C. duh! mlimtisha huyo jamaa, hakumuacha kwa ajili ya past, alihisi mtamgeuza kibuzi
 
Hebu rudia kusoma vizuri mabandiko ya wadada,inawezekana hujayaelewa mengi. Si kweli kuwa kila mwanamke ana past chafu kama ambavyo si sahihi pia kuwa kila mwanaume ana past nzuri. Na hata huo uchafu au usafi pia unategemea mtu na mtu,unaweza ukaweka past yako hapa wengine wakakusikitikia na wengine wakakuona wewe mtakatifu!!!!
Kikubwa kinachopingwa ni kitendo cha huyo kaka kuvunja uchumba kwa mambo yaliyopita,bint kama amebadilika mpaka akavutiwa naye basi alistahili nafasi nyingine.
Alistahili according to who?? Who is setting these standards??! Ndio maana mimi nimesema kama anastahili kwako sio lazima astahili kwa mwingine. Sasa huyu jamaa kafanya kosa gani kumwaga bidada?? Yeye kaona hamfai ninyi mnataka kulazimisha anamfaa kama kina nani kwake??
 
Hakuna anayemlaumu ila binafsi namshangaa tu,huko walikotoka wame share mangapi mpaka leo amuache mwenzie kwa mambo aliyoyafanya enzi hizo? Kweli yale mema yote yaliyomvutia yamekuwa erased na history?
Namhurumia huyo msafi aliyeolewa pia maana kama uchumba ulivunjwa kwa historia basi naye ajiandae tu maana akiteleza kidogo tu afungashe kabla Mr. Clean hajapata habari.
We una mpango wa kuteleza nini ?? Unajua umenikumbusha kisa kimoja kuna mtu nilikuwa namwambia nikikufumania naua mtu!! Akawa ananisihi nisiwe katili kiasi hicho na ninamtisha sana, Nikimuuliza una wasiwasi gani kwani una mpango wa kucheat anasema hapana. Nikamwambia kama huna mpango wa kucheat wasiwasi wa nini?? Anabaki kimya lakini mnyonge nikajua hapa tayari, maana ukiona manyoya............malizia mwenyewe.
 
Kweli kila mtu ana pasts na zingine hata hazifai kutizama ila....;
... Uje umefumuliwa marinda, hata kama nakupendaje i won't be with you! Nitukanwe huko leba kisa dume lingine limepitia mtamdao wa tigo!

... Ushacheza threesome kibao, lol.. siwezi.. au naona clips umerekodi uki do na maex wako.. damn!

Sio kila past inavumilika bana!
 
Vipi wale wenye fursa zote lakini wakaamua kuwa malaya tu kwa sababu wanapenda kuwa hivyo?? Maana naona unaanza kuleta justification za victim of circumstances (Hii inakubalika kwa mtu mwenye akili zake timamu). Rudia kusoma mada uone tunamzungumzia mtu wa aina gani (Hatuzungumzii watu waliobakwa humu!)

Halafu hata kama wewe unaweza kutoa second chance kwa malaya by choice haina maana kila mtu lazima afanye ufanyavyo wewe. Kila mtu na uchaguzi wake na maisha ni kupanga na kuchagua. Upo hapo?

Nafikiri sentence zote I was reffering to my judgement, wapi nimelazimisha kuwa we all should think alike.......Hata hao by choice kuna wanaoamua enough is enough na kuanza ukurasa mpya. Ukiwa wewe ni wale perfectionist Ok go ahead...first thing ensure you're also clean. Otherwise karma is waiting at the corner...
 
Back
Top Bottom