Nilitegemea kuziona CPA ( T ) na ACCA zikitufafanulia utata wa 1.5T kabla ya Polepole kuja kuokoa Jahazi

Ndiyo, accrual basis INA miiko yake. Disclosure ni kitu muhimu sana kwenye mfumo huu, haiingia akili kuwa taarifa ya CAG ilisahau hayo yanayosemekana sasa. The basic principal ya accounting ni double entry, ukianza kuingiza kitu chochote kwenye hesabu ambazo tayari zimeandaliwa lazima balancing iwe maintained. Sijui hao wanaochomeka vitu kwenye statements za Assad wamebalance. Ninavyojua mimi mapato taraji au Receivables tayari ni part ya source of expenditure financing sababu hata matumizi au expenditure nazo zinafanyika kwa accrual, na ndiyo best practise ya serikali inayopendekezwa na sheria ya PPRA. Sijui hiyo hofu ya ufafanuzi wa naibu waziri inatoka wapi?. Fund transfers nayo ni matumizi kwa aliyepokea na mapato kwa anayetumiwa, hivyo fedha za Zanzibar siyo issue lazima zipo kwenye hesabu na zingeonekana kwenye bakaa(rollovers). Treasuerer bills Mara nyingi zinaonekana kwenye deffered expenditures. All those were accommodated, Prof. Assad hajakosea popote. Fedha zitafutiwe matumizi yake siyo blah blah zinaletwa!!!!
Asante mkuu ... Halafu bado kunamijitu inaeleweshwa haielewi
 
**** mtu nilimshudia kwa macho yangu mwenye CPA Akaulizwa maana ya "payment voucher.
Kashindwa kueleza kabisa anasema akionyeshwa anaweza itambua
Yani wasomi wetu hawa mmmm
 
Unaweza kama O level ulikuwa unafanya vizuri kwenye science as it was compulsory with an exception of chemistry and physics. Sijui, mbona wazungu anakuwa MD, LLB, MBA etc? All in all determination matters! (uko sawa inaweza kuwa ngumu kidogo.
Ni kweli! Hata hapa wako wengi walio na mchanganyiko huo wa taaluma, lakini mwanzo lazima uwe ni MD>LLB>MBA, etc. Ukianza na LLB au MBA huwezi kugeuka ukaikamata MD. Ni mlima.

Tatizo O-level ukiiacha Chemistry na Physics ndo umeshaiacha sayansi maana utabakiza biology tu! Kumbuka Hesabu siyo Sayansi.
 
Kama ni taaluma yako, naomba tu uvumilie lakini huo ndo ukweli. Wivu wa nini? Yaani nitamani kusomea uhasibu? Kwa mbali naona dalili zile zile za kuamini ukiiba pesa, mwisho wa matatizo na unatakiwa kupongezwa. No!!

Unamfahamu mhasibu yeyote ambaye ni mjenga hoja mzuri?

Mhasibu kujenga Hoja katika muktadha UPI?
Nawajua Politicians wengi ambao ni wahasibu au walikuwa waasibu by professional.
Kama hawawezi kujenga joja kama usemavyo ilikuwaje wakaweza kuwaconvice wapiga kura wao??.
Usisahau kuwa unaweza jenga hoja kimkakati na sio kwa maneno, what matters ni end product.
 
Hivi nikisema:
3 units za Bombadier + 1 unit of Chato Airport = 1.5 T/Tzs ni hesabu sahihi? (i.e debit vs credit cancelling each other)!
 
Huu uzi ni mfupi lakini ni wa maana sana.

Mchumi anataka kujifanya mhasubu.
Sijui kama vile vitu viitwavyo accruals na prepayment wanazifahamu. Pamoja na kusema hayo lazima kuna walakini hapo kwenye 1.5t labda kwenye foot notes za report wameielezea hiyo tofauti. Kama hawajaelezea sioni kwanini imeachwa wazi hivyo katika report ya mwisho ya CAG. Kama suala ni accruels basi ilitakiwa ionekane kati Accrual account na siyo i hang tu. Maoni yangu mimi Lay man niliyeishia ACCA stage 1
umejitahidi...msomi
 
Mkuu naomba nitofautiane na wewe kimawazo, report ya CAG imeandikwa kwa kiswahili kabisa kiasi kwamba kila mtu regardless ya taaluma anaweza kuidadavua,hoja ya 1.5trilion ukurasa wa 34 haitaji cpa wala acca kuilewa! Iko very digested vizur kila mtu anaweza kuilewa, ni hesabu ya kujumlisha na kutoa tu...
hahahah ukiisoma ki layman hivi hutaelewa.kamanda..kuna issue za accruals kule usidhan hata darasa la saba anaweza tafsiri ripoti ile...
 
Movement for Social Audits in CAG
  • Trust
  • Transparency
  • CAG reporting to the people
  • People's memories versus State memory
  • People expectations not matching state promises
  • People always know what is not in the government books

Source: accountability initiative
 
Former CAG Vinod Rai : Audit will always make executives uncomfortable

Source: NDTV
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huu ni ujinga uliokithiri! Unategemeaje mtu ambaye hajahusika na chochote katika kuandaa accounting records za Serikali akupe ufafanuzi kwenye kitu ambacho hajahusika nacho!?

Accounting siyo kama kupiga ramli kila mtu aje na ramli yake. Huu ni ujinga uliokithiri. Msipende kurukia rukia taaluma msizojua chochote kuhusu taaluma hizo.

Sasa huyu Chakubanga kwa taaluma gani aliyokuwa nayo hadi useme kaokoa jahazi hahahahaha LoL! Baadhi ya Watanzania ni wapumbavu wa kutupa yaani mtu hajuwi chochote kuhusu accounting leo anasemekana eti kaokoa jahazi!!!! Jahazi lipi kaokoa!? La mapato ghafi?

Chakubanga na darasa lake la buku 7 akitoa somo kuhusu uhasibu uchwara wa mapato ghafi

Binafsi nilitegemea ilipotoka tu taarifa ya Zitto ambaye kitaaluma ni mchumi kuhusu utata wa 1.5T katika ripoti ya CAG basi wataalamu wa fedha na uhasibu wangemiminika kutoa ufafanuzi. Haikuwa hivyo na badala yake akaibuka mwanaharakati Kafulila ambaye badala ya kufafanua yeye akazidisha utata.

Wakati taharuki ikiongezeka katika mitandao kwa bahati njema akatokea mwenezi wa CCM ndugu Polepole na kutengua utata uliokuwepo. Na kwa bahati njema zaidi ufafanuzi kama ule wa Polepole kesho yake ukatolewa bungeni ikiwa ni taarifa ya serikali.

Ndiposa nauliza taifa bado lina wahasibu wale wa kwa Musasira au wamebadili field na kujiunga na taaluma nyingine.

Wale wahasibu wa zamani wa Naboce na NAD wangelikwishajitokeza mapema na kusema " .....hakuna utata wowote Zitto anatafsiri kwa Cash basis wakati serikali inatumia mfumo wa Accrual basis"....... Niishie hapo!
 
Wahasibu na CPA zetu tunawaangalia wananchi na tunasemaa hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Binafsi nilitegemea ilipotoka tu taarifa ya Zitto ambaye kitaaluma ni mchumi kuhusu utata wa 1.5T katika ripoti ya CAG basi wataalamu wa fedha na uhasibu wangemiminika kutoa ufafanuzi. Haikuwa hivyo na badala yake akaibuka mwanaharakati Kafulila ambaye badala ya kufafanua yeye akazidisha utata.

Wakati taharuki ikiongezeka katika mitandao kwa bahati njema akatokea mwenezi wa CCM ndugu Polepole na kutengua utata uliokuwepo. Na kwa bahati njema zaidi ufafanuzi kama ule wa Polepole kesho yake ukatolewa bungeni ikiwa ni taarifa ya serikali.

Ndiposa nauliza taifa bado lina wahasibu wale wa kwa Musasira au wamebadili field na kujiunga na taaluma nyingine.

Wale wahasibu wa zamani wa Naboce na NAD wangelikwishajitokeza mapema na kusema " .....hakuna utata wowote Zitto anatafsiri kwa Cash basis wakati serikali inatumia mfumo wa Accrual basis"....... Niishie hapo!
Kwahiyo unataka kusema CAG hizo principle za cash/acrual basis hazijui?
 
Mhasibu kujenga Hoja katika muktadha UPI?
Nawajua Politicians wengi ambao ni wahasibu au walikuwa waasibu by professional.
Kama hawawezi kujenga joja kama usemavyo ilikuwaje wakaweza kuwaconvice wapiga kura wao??.
Usisahau kuwa unaweza jenga hoja kimkakati na sio kwa maneno, what matters ni end product.
Yaani kabisa unategemea uwezo upimwe kwa kura za ubunge? Are you seriously supporting your own argument?
Halafu unamalizia kwa maneno mabaya kabisa! What matters ni end product. End product! Unafanya uchangudoa, unajenga nyumba ni end product sawa na aliyelima mahindi na kujenga nyumba. Hutajali uchangudoa kwa kuwa what matters ni end product!

Science never accept that level of immorality even after decades of practice! Ask Egas Moniz with his lobotomy.
 
Huu ni ujinga uliokithiri! Unategemeaje mtu ambaye hajahusika na chochote katika kuandaa accounting records za Serikali akupe ufafanuzi kwenye kitu ambacho hajahusika nacho!?

Accounting siyo kama kupiga ramli kila mtu aje na ramli yake. Huu ni ujinga uliokithiri. Msipende kurukia rukia taaluma msizojua chochote kuhusu taaluma hizo.

Sasa huyu Chakubanga kwa taaluma gani aliyokuwa nayo hadi useme kaokoa jahazi hahahahaha LoL! Baadhi ya Watanzania ni wapumbavu wa kutupa yaani mtu hajuwi chochote kuhusu accounting leo anasemekana eti kaokoa jahazi!!!! Jahazi lipi kaokoa!? La mapato ghafi?

Chakubanga na darasa lake la buku 7 akitoa somo kuhusu uhasibu uchwara wa mapato ghafi

Pamoja na kejeli zote unazotoa lakini taarifa ya wabobezi wa bajeti kutoka pale Hazina imefanana kabisa na ile ya Polepole aliyotangulia kuitoa.....nadhani utaelewa nani kadesa kwa mwenzake!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom