Niliposema kuwa Mwezi huu Mtukufu kuna Timu haitafanya vyema kwakuwa Majini yanauheshimu mkabisha mpo wapi leo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,118
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!

Zawadi ya Tunu/Shani nilizopewa na Mwenyezi Mungu hakuna wa Kufananishwa nami na ndiyo maana 85% ya yale ambayo huwa nayawasilisha hapa JamiiForums (Michezoni na kwingineko) huwa ni sahihi na kwa 15% tu ndiyo huwa ni bahati mbaya/havitokei.

Msione aibu Kunijengea Mnara, Oky?

"Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" GENTAMYCINE.

Kudadadeki!
 
Sawa alafu unakuwa wa 3
20240318_000332.jpg
 
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!

Zawadi ya Tunu/Shani nilizopewa na Mwenyezi Mungu hakuna wa Kufananishwa nami na ndiyo maana 85% ya yale ambayo huwa nayawasilisha hapa JamiiForums (Michezoni na kwingineko) huwa ni sahihi na kwa 15% tu ndiyo huwa ni bahati mbaya/havitokei.

Msione aibu Kunijengea Mnara, Oky?

"Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" GENTAMYCINE.

Kudadadeki!
hatukufungwa kwa aniki ya majini,ni mpira tu,kwani hata hao hao waliofinga na wao wana majini,au majini yao hayana dini?
 
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!

Zawadi ya Tunu/Shani nilizopewa na Mwenyezi Mungu hakuna wa Kufananishwa nami na ndiyo maana 85% ya yale ambayo huwa nayawasilisha hapa JamiiForums (Michezoni na kwingineko) huwa ni sahihi na kwa 15% tu ndiyo huwa ni bahati mbaya/havitokei.

Msione aibu Kunijengea Mnara, Oky?

"Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" GENTAMYCINE.

Kudadadeki!
si muipambanie nafasi ya pili na Azam kwa Amani 🐒
 
Majini yako yanajifua huko yaliko yanafukizwa na udi kipindi hiki cha mfungo
GGJ7XB5XMAAhfQO.jpeg
 
ASANTE SANA MUNGU KWA KUNIPA HEKIMA NA AKILI.

ASANTE MUNGU KWA KUNIEPUSHIA UJINGA NA UPUMBAVU.
PUNGA KAMA WEWE NA UNCIRCUMCISED BABOON AKILI UZITOE WAPI WAKATI KUTWA TU UNANISUMBUA ILI NIKUINGILIE KULE KUSIKOTAKIWA NA VITABU VYOTE VITAKATIFU?
 
Back
Top Bottom