Nilipopoteza uwezo wangu wa kimiujiza

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
4,007
5,446
Habari wanajamvi,

Leo nataka ni share kidogo changamoto ya maisha yangu...

Nimelelewa katika familia ya kawaida saana japo sikulelewa na baba ila upande wa mama.

Mama yangu na baba yangu ni dini mbili tofauti.

Kwa story niliyopewa ilikua almanusura ni uawe nikiwa tumboni ila haukua wakati wangu na wala wakati wa mama kufa, kwenye kuzaliwa pia ilikua iwe hivo hivo kama si kufa wote basi mmoja angemuacha mwenzake ila hatukufa wote.

Katika umri wa miaka miwili jaribio la mauti likanitokea tena, ilikua manusura niwe kipofu maana ilidhibitika na madktari muhimbili kwamba sitaona, maajabu nilikuja kuona ndani ya muda mfupi tuu.

Kwenye makuzi yangu nilikua mtoto mwenye mvuto na ushawishi saana kwa wenzangu, yaani kwenye michezo naamua tuchezo nn au tufanye nini na wenzangu watafuata, niliendelea hivi kwenye elimu zangu zoote mpaka chuoni.

Nilijikuta pia nakua mtu wakutafakari saana mambo ya kiroho (dini) miongoni ya sababu ni utofauti wa dini ya wazazi wangu kitu kilichonifanya niwe karibu saana na dini hizo. Ukristo na Uislamu, japo nilikua kwenye makuzi ya kikristo.

Basi nikajikuta nabaki kwenye UKRISTO na nilikua na uwezo wa ajabu, yaani katika ujana wangu wa kawaida kitu chochote nikimuomba Mungu kinakuja on the spot,
Wagonjwa nawaponya (kwa jina la Yesu)
Mapepo nayatoa
Mahirizi nayachoma
Waganga nawakimbiza
Wachawi walinipigia salute
Ukinizingua nikipiga goti nikakushtakia huchomoki,
Yanayotokea mbeleni kuanzia siku inayofuata naoneshwa (matukio makubwa tuu)

Ilifika hatua nikaanza kuwa na kiburi, maana sikua na cheo chochote ndani ya kanisa nilikua raia wa kawaida tuu ila sehemu yeyote iliyoogopwa kwa uchawi nilikanyaga na nikashinda.

Mi while na fanya ivo rohoni mwangu nilikua na dhambi moja inanisumbua saana, dhambi iliyokua inanitesa ni kutamani "kufira" kwa akili ya kawaida nilikua si ikubali ila kwenye ulimwengu wa roho nilikua naiota na ilikua inanipa raha saana kuliko nikijamiana na mke wangu...
Kuna nyakati nilikua sifiki mshindo nikiwa kwenye tendo mpaka nivushe kwenye mawazo kwamba namfanya kinyume na maumbile ndio nipate mshindo laasivyo ntatumia masaa hata mawili au nichoke niacha tuu.

Ilikua ni hali napambana nayo miaka mingi saana ni dhambi ambayo ilikua ikinitua machozi kila nikiwa nasali either kanisani au nikiwa kwenye maombi yangu binafsi.

Basi siku moja nikapata malaya mmoja ambaye aliniahidi kunipa huo mchezo na mimi kwakua niligombana na mke wangu katika hali ya kawaida basi nikasema ngoja nikajaribu kitu ambacho kinanisumbua kwenye ulimwengu wa roho nione kinakuaje kiuhalisia.

Basi tukaenda nikachukua lodge kitongoji cha tatu kutoka nnapo ishi nikaenda kukutana kimwili na yule kahaba, sasa kila nikijaribu kupitisha kule naishiwa nguvu nakwama, akaniuliza inaonekana mimi si mzoefu nikamjibu ndio..
Basi akachukua dawa nadhani ndio vumbi la kongo akanipaka tukawa tunapiga story tuu mpaka hapo wasiwasi uliponitoka na kufanikiwa kufanya kile nilichokusudia.

Ukweli sikufurahia kwakua nilikua na mgogoro mkubwa kwenye nafsi yangu hatia ilinishtumu vibaya mno lakini niliishinda kwa kiburi nikijisemea kama ni dhambi mbona nilimuomba Mungu miaka mingi hajaiondoa akilini mwangu acha ni fanye tuu.

Nilipomaliza hatia ilikua ikinitesa nikarudi kwangu naogopa hata kushika wanangu na mke wangu japo nilioga lodge lakini nilioga tena na tena nyumbani nahisi ka nimebeba nuksi nyumbani kwangu.

Usiku nikiwa nimelala, nikaota ndoto mchungaji wangu akinifuata nilipokaa nikiwa nafuatilia ibada na kunino ng'oneza kwamba ''wewe (mimi) hutomtumikia Mungu tena" nilishtuka nikatetemeka huku jasho likinitoka., nikamuomba Mungu anisaidie ndoto iseiwe kweli lakini ni kama nilichelewa.

Mabalaa yakaanza kuniandama, kila nikiomba sijibiwi, nikiombea hamna kitu, nikiombewa hamna kitu, sina maono tena.... najiona mwepesi niliyepungukiwa najiona ka nimefutwa kwenye ulimwengu natamani kurudisha ule uwezo nashindwa najiona nazidi kupotea kwenye Umalaya, ushirikina, ulevi na vyote hivyo sifanikiwi wala sioni raha yake, nimejaa majuto na hasira sitamani kuomba wala maombezi, sitamani gospel song wala neno la Mungu....
Kuna mda natamani kwenda kwenye mizimu sijui nianzie wap na asili yangu ilishafutika (wazee)

Natamani spiritual power, nilizozipoteza najiona si mtu wa kuishi bila uwezo wa Roho yenye nguvu ndani yangu, nateseka hata siogopi kufa kwa ajili ya hili nahitaji ngu ya Roho wa Mungu

⌛⌛⌛
🌍🌍🌍
 
Mkuu pole kwa yote, ila tambua bado Mungu anakupenda sana wala hiyo dhambi si kubwa kwake ashindwe kukusamehe, jambo la msingi ni wewe kufanya toba tu omba msamaha kwake na yeye atakusamehe
Ni mwaka wa tatu sasa nateseka na hii changamoto, mbaya zaidi nimefikia hatua yakuchukia maombi naishi kama mpagani huku roho ikinisuta kwann sifany maombi...
Nguvu sina kabisa
 
Kwaiyo ulif***ra sio?
 

Attachments

  • 1688216693161.jpg
    1688216693161.jpg
    19 KB · Views: 17
Pole sana rafiki,
Ulilopitia ni sehemu ya jaribu ambalo ulikuwa na uwezo wakulishinda.
Lakini hata sasa shukuru Mungu mana ingali sauti yake unaisikia kwa namna ya unavyopata majuto kwa dhambi ile.
Nikusihi tu,Dhamiria kwa dhati kabisa kufanya toba na maombi.Mungu wetu ni mwema wakati wote,Hata sasa anakuhitaji umtumikie.
Hakuna aliyemkamilifu kwa wanadamu,Tunayo rehema na Neema kutoka kwa Mungu wetu,FANYA MAAMUZI.
 
Psychological issue....

Endelea kumuabudu Mungu Mwenyezi...kwani hizo nguvu alikupa yeye bila ya kumuomba na zimegota kupitia uliyoyafanya....

Unazidaidai na kutoishi kwa amani kwani ulimpigia simu Mungu akuzawadie hizo NGUVU ?!!

Umezikatia "bima"?!!!

Tuendelee kumsifu ,kumuabudu na kumuimbia MWENYEZI MUNGU MTUKUFU
 
Psychological issue....

Endelea kumuabudu Mungu Mwenyezi...kwani hizo nguvu alikupa yeye bila ya kumuomba na zimegota kupitia uliyoyafanya....

Unazidaidai na kutoishi kwa amani kwani ulimpigia simu Mungu akuzawadie hizo NGUVU ?!!

Umezikatia "bima"?!!!

Tuendelee kumsifu ,kumuabudu na kumuimbia MWENYEZI MUNGU MTUKUFU
 
Ni mwaka wa tatu sasa nateseka na hii changamoto, mbaya zaidi nimefikia hatua yakuchukia maombi naishi kama mpagani huku roho ikinisuta kwann sifany maombi...
Nguvu sina kabisa
Hatujaambiwa tufanye maombi ili tu tusababishe "natural powers"...maombi ni kwa ajili ya kumsifu na kumtukuza Mungu....endelea kufanya hayo!
 
Ni mwaka wa tatu sasa nateseka na hii changamoto, mbaya zaidi nimefikia hatua yakuchukia maombi naishi kama mpagani huku roho ikinisuta kwann sifany maombi...
Nguvu sina kabisa
Hatujaambiwa tufanye maombi ili tu tusababishe "natural powers"...maombi ni kwa ajili ya kumsifu na kumtukuza Mungu....endelea kufanya hayo!
 
Ni lazima utambue unapokuwa umepewa uweza na Mungu ni neema tu...

Pia unapokuwa na uwezo huo Kuna adui anakutafuta ili akurudishe nyuma...

Wewe adui yako ilikuwa zinaa, ulitakiwa uwe unaiombea Toba iondoke...

Sasa wewe hukujua kuwa shetani baba wa uongo huja na mbinu nyingi...

Ndoto pia tunazoota sio zote ni za Mungu, ndio maana lazima uzipime kwa neno...

Hivyo unatakiwa uwe makini sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom