Nilikukosa RonnM na familia yetu yoote

Ritakahama

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
758
408
Wapendwa woote hapa hamjambo?Mpenzi wangu wa moyo @Ronn M natumaini umekuwa mwaminifu kipindi chote nilichopotea mpenzi unajua maisha magumu inabid kujituma kupunguza makali nilikukooosa sana.Mama gfsonwin,pole na kuuguza Mungu ni mwema kwetu mdogo wetu amepona thanks God.
Madame B pole sana hayo ni mapenzi ya Mungu

Babu Mtambuzi nawe hongera sana.

Babu Asprin, BabaV, na wote wanafamilia natamani kuwataja kwa majina lakini nimechoka sna naomba nisamehewe.
 
Yaani sasa hivi ndio nimetoka msibani kwa akina Madame B na Kijino, huko nimewaacha wana JF kibaaaao wengine umewataja hapa........
 
Last edited by a moderator:
mkwe wangu jeneneke nakupenda sana. nashukuru sana kwa salam zenu za upendo pamoja na zawadi mlomtumia mdogo wenu alipokuwa mgonjwa. barikiweni sana.
 
Last edited by a moderator:
Mamito jeneneke, kama nilivyoapa nitakuwa mwaminifu ndivyo nilivyo. Pete uliyonivisha siku zote imekuwa ni ishara ya uaminifu wangu kwako, nimekuwa na shughuli ndogo ndogo za hapa na pale lakini katika yote umekuwa moyono mwangu daima. Nakupenda sana mpenzi! Nashukuru pia mama yangu gfsonwin kwa kuwa nami wakati wote love u mom!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom