Nilijua wabunge kumbe marais nao wanalala vikaoni!!kazi ipo afrika

Mkuu huyu si Comrade Mugabe? Amechoka anatakiwa apumzike. Ila hawezi kuachia madaraka kwa kuwa watesi wake wanamnyemelea ili akitoka tu wamburuze mbele ya pilato. Wacha tu mungu amchukue akiwa na madaraka yake ili watesi wake wasije kumnasa na kumsumbua.
 
Hii itakuwa imetengenezwa na nchi za mangaribi kumkebehi Mugabe
 
Jogwe meditating about africa politics and western economic suction ..............
 
Hapo Mkuu atakuwa anafikiria kwa kutumia KOPE..................majuzi waandishi walimuuliza

"Mr President when are you going to say good bye to your people"??? yeye akajibu.....
.........where are they going?????????????
 

Jembe la Africa


No aliitwa Jongwe (Jogoo)

fightingcock.jpg
 
Back
Top Bottom