Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,322
- 33,126
- Thread starter
- #141
Usiokote wallet za walevi ni dhambi kwa mungu wewe bado hujaokoka?Eee bana ee wakuu nalog out, stay blessed. Mida za kuokota wallet za walevi izi.
mtakatifu ivuga na afrodenzi bila kumsahau dry root a.k.a mzizimkavu na alwattan njiwa. Kwa niaba ya mamaangu wa kambo ambae anapenda kuongea na faza kwa kizaramo nawatakia usiku mwema nyote na alfajiri njema.
Mungu awafungue wajawazito wote duniani bila opereshen. Ameen