nikweli yanatokea

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,252
6,207
1011855_595845087127159_510657752_n.jpg
 
Ha ha ha hapo atatozwa na bei ya kumtayarisha huyo kuku!Kwani anakaangwa hivo hivo mzima?
 
Lol nyonga tena...kama ni nyongo basi hiyo haina madhara haitumbuki...
halafu wewe mchokozi sana ni typing error lol wengine tuna makengeza....Mhhh basi ingekuwa hivo tusingepata shida ya kumsafisha huyo kuku angepikwa mzimamzima...Hio nyongo inasababisha kuku anakuwa mchungu!
 
Hahah wewe ndio huwezi best...ila kuna watu wanaweza wanamla kama alivyo na magoya yake...

halafu wewe mchokozi sana ni typing error lol wengine tuna makengeza....Mhhh basi ingekuwa hivo tusingepata shida ya kumsafisha huyo kuku angepikwa mzimamzima...
 
Back
Top Bottom