Nikiwa nipo serius sipati!..nikienda kwakujalibu napata?,

Jul 13, 2011
64
8
mambo vip wana jf nahisi mko poa! Mi na ili tatizo nahis limeshakua kongwe ktk maisha yangu pindi ninapotaka kutongoza, nikiwa nimempenda bint ambae anavi2 ambovyo hwa navitaka, hwa hata nitongoze vip? Hw anakataa nakma akikubali hwa lazima asiwe muaminifu kwangu, kama si hivyo basi hwa tunatofautiana tabia!..nikienda kwa kwakujalibu(yaaan kwakutania)hwa malanyingi napata, namapenzi ye2 hwa yanadum!.,ivinikwanini hwa inanitokea?....
 
Hata cjaelewa ulichoandka,atakae elewa plz anieleweshe na mie.
 
Kwa hiyo kazi yako wewe ni kutongoza tuu? hata sijakuelewa mkuu
ni vema ukaja na data au analysis inayoeleweka.
Ntarudi baadaye mkuu wa kaya.
 
duh, endelea kujaribu tu mkuu ila cku na wewe ukijaribiwa usishangae
 
mambo vip wana jf nahisi mko poa! Mi na ili tatizo nahis limeshakua kongwe ktk maisha yangu pindi ninapotaka kutongoza, nikiwa nimempenda bint ambae anavi2 ambovyo hwa navitaka, hwa hata nitongoze vip? Hw anakataa nakma akikubali hwa lazima asiwe muaminifu kwangu, kama si hivyo basi hwa tunatofautiana tabia!..nikienda kwa kwakujalibu(yaaan kwakutania)hwa malanyingi napata, namapenzi ye2 hwa yanadum!.,ivinikwanini hwa inanitokea?....
'Mapenzi kudumu'....sijakuelewa..yaan yanadumu alaf bado unatongoza unakataliwa???...au yanadumu vipi???...ukinijibu hayo nitarudi kukushauri..
 
sasa unasema ukijaribu huwa unadum nao...unadum nao kwa muda gani?hadi sasa wamefika wangapi!? na wewe una umri gani?...au ndo ulimbukeni wa bush unakusumbua?
 
huna tatizo wewe unataka visivyo vyako ndio maana havudumu.
Hivyo ulivyojaribu ndio vilikua vyako,tena kuwa mwangalifu hasa utakapofikia kuoa unaweza kuoa mtu ambae hamtaishi vyema.acha kubadili co nguo
 
mambo vip wana jf nahisi mko poa! Mi na ili tatizo nahis limeshakua kongwe ktk maisha yangu pindi ninapotaka kutongoza, nikiwa nimempenda bint ambae anavi2 ambovyo hwa navitaka, hwa hata nitongoze vip? Hw anakataa nakma akikubali hwa lazima asiwe muaminifu kwangu, kama si hivyo basi hwa tunatofautiana tabia!..nikienda kwa kwakujalibu(yaaan kwakutania)hwa malanyingi napata, namapenzi ye2 hwa yanadum!.,ivinikwanini hwa inanitokea?....

majibu yote umetupatia sasa sijui kwa nini watuuliza.........................ukiwa serious ni kuwa uko tense na hivyo unatisha..........................hata mwenzio anakuwa na wasiwasi kuwa malengo yako yawezekana nayo siyo mazuri...................kwa sababu kinachowaunganisha ni hiari tupu...........sasa umakini wako unaleta hisia ya kuwa pengine unataka kutumia musuli wa shuruti................

lakini unapokuwa hauko makini ni kuwa unatabasamu na huna wasiwasi ......................na hili mara nyingi hutokea kwa wale ambao huwahitaji sana...............na unachofanya ni kujipima ubavu...........................unapotabasamu unaonekana unataka kubembeleza.....na hivyo hakuna shuruti............................kwa hiyo ni rahisi kufikiriwa.......................na kukubaliwa maombi yako ingawaje tatizo ni kuwa.....................................she is not the ONE you truly need..............................and frustration begins to kick in..................................
 
Back
Top Bottom