MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,299
Wadau huu ukimya wa mchakato wa kuanza upatikanaji wa Katiba Mpya na tume huru ya uchaguzi ni ushahidi tosha kuwa hakuna kinachoendelea.
Na haya matukio ya bandari n.K ni mbinu za ucheleweshaji tu. Sioni dalili wala juhudi zozote za wahusika na huu mchakato kuwa wako busy na upatikanaji wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kwani wao katiba iliyopo na tume ya uchaguzi iliyopo kwao ni muhimu kuliko katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Kwa maono yangu na jinsi mambo yanavyoenda, Tanzania hakuna katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi mpaka baada ya uchaguzi mkuu wa 2025.
Mnaosuburi eti kuna katiba mpya na tume huru ya uchaguzi mtasubiri sana hii ni tanzania taifa la ambalo hata wenye uwezo wa kuondoa mishangao nao wanashangaa. Wananchi tunataka katiba mpya sasa na tume huru ya uchaguzi sasa.