Nikipata majibu ya maswali haya narudi CHADEMA

Mimi yakipatikana ya EPA na ESCROW kuhusu hela zetu zitarudi lini nakuwa Mhamasishaji wa CCM
Acha utani, ina maana haya majoka yenye makengeza yakitoa majibu unajiunga nayo? Mimi siwezi kujiunga nao hata wakirudisha hela za EPA, ESCROW nk.
 
Jibuni maswali yaliyoulizwa ili watanzania tuelewe majibu yake,watu wengi wanasubiri majibu.
Haya maswali hayajibiki, soma swali la 7. katiba ya chadema hairuhusu mwanachama kupeleka masuala ya chama mahakamani. Ina maana mbowe yeye siyo mwanachama hadi apeleke masuala ya chama mahakamani?
 
Mpaka sasa sijapata majibu kutoka kwa Makamanda wa Chadema,inawezekana Maswali yamekuwa magumu kwao.
 
Mpaka sasa sijapata majibu kutoka kwa Makamanda wa Chadema,inawezekana Maswali yamekuwa magumu kwao.

Inawezekana wahusika wa kuyajibu hawajaona hayo maswali yako, kumbuka JF sio office za CHADEMA:sly:
Nakushauri hayo maswali yako yapeleke kwny office yyt ya chama iliyo karibu na huko uliko!
 
Hoja Hizi zimetolewa na Muganyizi Jackson Jasper kwenye Facebook walls.

Kule hakuna mtu aliyeweza kuzijibu ila kutukana matusi ya nguoni.

Kwa kuwa JF ni ukumbi wenye vichwa vilivyoenda shule, nimeona nizilete hoja hizi hapa ili zijibiwe na Elite CDMs.

Usipokuwa na hoja ya kujibu basi bora upite wende zako kuliko kutukana matusi.

Hoja ni hizi hapa:

ENDAPO NITAPATIWAMAJIBU YA MASWALI HAYA NIPO TAYARI KUVAA NGUO ZA WAGAMBO ZA CHADEMA LAKINI PIANITAAMINI ZITO ALIKUWA MSALITI KWELI TENA LEO LEO

1.Walituambia kuwa chama cha wananchi CUF ni tawila ccm,wakaenda mbali kwa kuwaita kuwa ni chama cha Mashoga ghafla wakasahaumatusi yao na wakaanza mashirikiano Mapya,Je ile tuhuma iliishia wapi?

2.Chadema walituaminisha kuwa Chama cha NCCRmageuzi kimejaa Usalama wa Taifa,wakaenda mbali wakamkejeli Mbatia, tena ndaniya Bunge kuwa,yupo Upinzanihuku akiitumikia ccm,ghafla tu Mbatia ni Mshirika namba Mbili wa Ukawa bilawatanzania kuelezwa kama zile tuhuma zilikuwa za kweli au za kutunga kwa nia yakuwalaghai watu.

3.Chadema kwenye Ilani yake 2010 walituambia kuwatukiwachagua hawatachukua posho kama hatua mojawapo ya kuonyesha kwa vitendokuchukizwa na matumizi mabaya ya serikali.Je Kwanini wamekiuka Ilani yao?

4.Chadema Mwaka 2011 walikataa kushirikiana navyama vya Upinzani ili kuunda kambi ya Upinzani yenye sauti nanguvu,wakatuambia kuwa Vyama vyote ni mawakala wa ccm isipokuwa Chadema,hivyokushirikiana nao ni kurudisha nyuma harakati za ukombozi,ghafla tu barazakivuli la mawaziri likavunjwa na wale vibaraka wa ccm wakaingizwa kwenye kambiya upinzani bila sisi wafuasi kuambiwa ni lini ukibaraka wao umeisha mpakawakaaminiwa.

5.Tuliambiwa kuwa David Kafulila ni mtu hatari kwaustawi wa Upinzani hasa Chadema,tukaambiwa ni Sisimizi ambae hana umuhimu wowotendani ya Chadema ,ghafla tu Sisimizi kageuka tembo,Mtu hatari kageuka Shujaa nasasa ananadiwa na viongozi wa Chadema kuwa ukawa imepata tuzo,Je ni linikafulila alianza kuaminiwa ?

6.Tuliambiwa tena kuwa ,Serikali kutumiamashangingi huku Zahanati hazina dawa ni kiwango cha juu cha Ubinafsi,Mboweakalikataa Shangingi la Kiongozi wa Upinzani....ghafla nimemuona Bukoba akiwana Shangingi lenye maandishi KUB. Je ndio lilelile alilolikataa hadharani au nilingine?

7.Mbowe alituahidi kwenda mahakamani,na kudai kuwawanasheria wake wanaandaa mashtaka dhidi ya Zitto Kabwe baada ya Zittokumtuhumu kuwa alipokea fedha toka kwa makada wa ccm na kuwa alicheza dili nsKinana kuhusu deni analodaiwa na NSSF.Je taratibu za ufunguaji kesi ziliishiawapi ?

8. Chadema Mwaka 2011 ilitangazia Umma kutomtambuaRais Kikwete kwakuwa alishindwa na Slaa,ghafla wanatangaza kuomba mashaurianona Rais waliemkataa,wakafika Ikulu kujadiliana juu ya maswala mbalimbali yaKitaifa,wakanywa Juice na kupiga picha,Je ni lini Chadema ilianza kumtambuaRais na kwanini sisi wananchi hatukuelezwa kuwa kuanzia sasa Kikwete ni Rais?

Mpaka sasa sijapata majibu kutoka kwa Makamanda wa Chadema,inawezekana Maswali yamekuwa magumu kwao.

Mimi Nashindwa Kukuelewa Nimekupa Majibu Kwa Mlolongo Mzuri Moja Baada Ya Lingine, Na Nimeomba Na Swali La Nyongeza, Unaluluka Unajifanya Hujaona Majibu, Sasa Fanya Hivi Andaa Mdahalo Mimi Na Wewe, Kama Ni Kwenye Redio Au Kwenye Mtandao Ila Iwe Facebook Alafu Uulize Maswali Yako Hayo Ya Kitoto, Wewe Ukihis Ni Magum, Na Kabla Haujaandaa Uongeze Maswali Mengine, Mshilikishe Hata Aya.Tolah, Ili Kunipa Changamoto Nzuri Sio Tumaswali Twepes Kama Hutu, Alafu Wewe Ukijidai Et Nitahamia Chadema Nikijibiwa Maswali Haya.
 
Jibu ni rahisi sana. CDM wanaamini Hakuna adui wa kudumu katika siasa bali kuna maslahi ya Taifa ya kudumu.

Ndio maana pamoja na kuwa na tofauti na ZZK kwenye suala kama la Escrow walipambana bega kwa bega hadi ZZK mwenyewe alikiri kuwa amependa hali hiyo aliyo imiss kwa muda mrefu
 
Hoja

Hoja ni hizi hapa:

ENDAPO NITAPATIWAMAJIBU YA MASWALI HAYA NIPO TAYARI KUVAA NGUO ZA WAGAMBO ZA CHADEMA LAKINI PIANITAAMINI ZITO ALIKUWA MSALITI KWELI TENA LEO LEO

1.Walituambia kuwa chama cha wananchi CUF ni tawila ccm,wakaenda mbali kwa kuwaita kuwa ni chama cha Mashoga ghafla wakasahaumatusi yao na wakaanza mashirikiano Mapya,
Je ile tuhuma iliishia wapi? Ziliishia walipoelewana na kuamua kuwa kitu kimoja kwa masilahi mapana ya taifa.

2.Chadema walituaminisha kuwa Chama cha NCCRmageuzi kimejaa Usalama wa Taifa,wakaenda mbali wakamkejeli Mbatia, tena ndaniya Bunge kuwa,yupo Upinzanihuku akiitumikia ccm,ghafla tu Mbatia ni Mshirika namba Mbili wa Ukawa bilawatanzania kuelezwa kama zile
tuhuma zilikuwa za kweli au za kutunga kwa nia yakuwalaghai watu.Swali hili si la wanachama wala JF users bali Ukawa.

3.Chadema kwenye Ilani yake 2010 walituambia kuwatukiwachagua hawatachukua posho kama hatua mojawapo ya kuonyesha kwa vitendokuchukizwa na matumizi mabaya ya serikali.
Je Kwanini wamekiuka Ilani yao? Ili wao watimize ilani hiyo walieka condition ambayo umeitaja hapo juu....kuwa ni mpaka uwachague, Je uliwachagua?

4.Chadema Mwaka 2011 walikataa kushirikiana navyama vya Upinzani ili kuunda kambi ya Upinzani yenye sauti nanguvu,wakatuambia kuwa Vyama vyote ni mawakala wa ccm isipokuwa Chadema,hivyokushirikiana nao ni kurudisha nyuma harakati za ukombozi,ghafla tu barazakivuli la mawaziri likavunjwa na wale vibaraka wa ccm wakaingizwa kwenye kambiya upinzani bila sisi wafuasi kuambiwa
ni lini ukibaraka wao umeisha mpakawakaaminiwa. Ukibaraka uliishia walipoamua kujiunga na baraza hilo na kufuata terms na conditions za baraza hilo.

5.Tuliambiwa kuwa David Kafulila ni mtu hatari kwaustawi wa Upinzani hasa Chadema,tukaambiwa ni Sisimizi ambae hana umuhimu wowotendani ya Chadema ,ghafla tu Sisimizi kageuka tembo,Mtu hatari kageuka Shujaa nasasa ananadiwa na viongozi wa Chadema kuwa ukawa imepata tuzo,
Je ni linikafulila alianza kuaminiwa ? Siku alipotangazwa kuwa Tembo na shujaa hata hivyo aliyesema kuwa ni shujaa na Tembo angeulizwa angetoa majibu mazuri au hukuwepo wakati anasema maneno hayo?

6.Tuliambiwa tena kuwa ,Serikali kutumiamashangingi huku Zahanati hazina dawa ni kiwango cha juu cha Ubinafsi,Mboweakalikataa Shangingi la Kiongozi wa Upinzani....ghafla nimemuona Bukoba akiwana Shangingi lenye maandishi KUB.
Je ndio lilelile alilolikataa hadharani au nilingine? Nafikiri ungeenda TRA ungeweza kujua mmiliki wake!

7.Mbowe alituahidi kwenda mahakamani,na kudai kuwawanasheria wake wanaandaa mashtaka dhidi ya Zitto Kabwe baada ya Zittokumtuhumu kuwa alipokea fedha toka kwa makada wa ccm na kuwa alicheza dili nsKinana kuhusu deni analodaiwa na NSSF.
Je taratibu za ufunguaji kesi ziliishiawapi ? hili linamuhusu Mbowe na Zitto, hata hivyo maamuzi ya kushitaki au kutoshitaki ni yake na sii ya wanachadema au JF users.

8. Chadema Mwaka 2011 ilitangazia Umma kutomtambuaRais Kikwete kwakuwa alishindwa na Slaa,ghafla wanatangaza kuomba mashaurianona Rais waliemkataa,wakafika Ikulu kujadiliana juu ya maswala mbalimbali yaKitaifa,wakanywa Juice na kupiga picha,Je ni lini Chadema ilianza kumtambuaRais na kwanini sisi wananchi hatukuelezwa kuwa kuanzia sasa Kikwete ni Rais?
Majibu unayoyataka nimeshakupa ila nahisi hasilimia kubwa ya maswali uliyouliza hayapaswi kujibiwa na wanaJF wala wanachama isipokuwa vyombo husika vya chama, na mengine yanahusu viongozi, nafikiri ungewapelekea wangekupa majibu mazuri! ​Swali linalomuhusu Baba haliwezi kujibiwa na mtoto..............!
 
Mimi Nashindwa Kukuelewa Nimekupa Majibu Kwa Mlolongo Mzuri Moja Baada Ya Lingine, Na Nimeomba Na Swali La Nyongeza, Unaluluka Unajifanya Hujaona Majibu, Sasa Fanya Hivi Andaa Mdahalo Mimi Na Wewe, Kama Ni Kwenye Redio Au Kwenye Mtandao Ila Iwe Facebook Alafu Uulize Maswali Yako Hayo Ya Kitoto, Wewe Ukihis Ni Magum, Na Kabla Haujaandaa Uongeze Maswali Mengine, Mshilikishe Hata Aya.Tolah, Ili Kunipa Changamoto Nzuri Sio Tumaswali Twepes Kama Hutu, Alafu Wewe Ukijidai Et Nitahamia Chadema Nikijibiwa Maswali Haya.

kwan yale mabisu ya kivita ya kimarekan hamyatumii tena?usimlaghai ndugu yetu wauaji nyie.
 
Mimi Nashindwa Kukuelewa Nimekupa Majibu Kwa Mlolongo Mzuri Moja Baada Ya Lingine, Na Nimeomba Na Swali La Nyongeza, Unaluluka Unajifanya Hujaona Majibu, Sasa Fanya Hivi Andaa Mdahalo Mimi Na Wewe, Kama Ni Kwenye Redio Au Kwenye Mtandao Ila Iwe Facebook Alafu Uulize Maswali Yako Hayo Ya Kitoto, Wewe Ukihis Ni Magum, Na Kabla Haujaandaa Uongeze Maswali Mengine, Mshilikishe Hata Aya.Tolah, Ili Kunipa Changamoto Nzuri Sio Tumaswali Twepes Kama Hutu, Alafu Wewe Ukijidai Et Nitahamia Chadema Nikijibiwa Maswali Haya.

umejibu nini we msukule wa ufipa?
 
wakujibu haya maswali kwa hoja hayupo,wale misukule wote wamekimbia,ona huyo std 7 majibu aliyotoa hapo juu kama anamjibu mwanaume anaempiga sound
 
Back
Top Bottom