WanaJF Doctors,
Nasikia Asali mbichi ni tiba ya mambo mengi mhimu ya mwili lakini mimi nikitumia tumbo linauma. Nifanyeje?
Changanya asali, mdalasini na maziwa, halafu lete habari mpya.
Mimi pia, tena maumivu yake ni kama kuna motoWanaJF Doctors,