Nikifa mwili wangu utupwe mbugani simba na fisi wapate kitoweo

Hili swala nimeshaongea ndani ya familia yangu lakini naona wananiona mimi kama punguani, sasa naamua kuliweka hadharani ili kusudi jamii ijue kabisa siku nikifa sitakiwi kuzikwa bali nitupwe kwenye pori nene, ikiwezekana nimezwe na chatu au niliwe na simba ama fisi.

Nitaonekana waajabu ila ndio hivyo, mwili wangu hautakuwa na thaman tena ni bora tu tusaidie wanyama wengine wapate sikukuu wafurahi wanenepe kuliko kuchimbiwa kaburini halafu viumbe wengine wakafa kwa kukosa chakula.

Mola nijalie mwisho mwema
Nyama zenyewe unazo!? una uhakika Simba atashiba?
 
Tena ningepata maji ya maiti yako ukioshwa nikayafukie pale getini kwangu ningefurahi sana
 
Back
Top Bottom