Niiweke wapi hii mill 2?

Hello wana JF

Mimi nimeajariwa kwenye Kampuni fulani hapa Dar ratiba zangu za kazi no holiday or weekend i mean everday nipo kwa job from sa7asubh to saa1 jioni. Namshukuru Mungu mpaka sasa namiliki 2ml. cash.

Sasa nahitaji mnipe mawazo wapi naweza kuenvest hii pesa yang ambapo ntapata faida bila mimi kushriki physical kwenye mchakato mzima.
pesa yangu ipo m-pesa tu imetulia kama maji mtungini

Please kama unaweza kunsaidia kimawazo thanx you alot'

Fungua fixed deposit account,itupie humo thn isahau.after mwaka nenda kacheki unariba kiasi gani,thn unaichanganya na hiyo riba unaitupia tena
 
Back
Top Bottom