Niiweke wapi hii mill 2?

Kv-london

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
2,823
4,825
Hello wana JF

Mimi nimeajariwa kwenye Kampuni fulani hapa Dar ratiba zangu za kazi no holiday or weekend i mean everday nipo kwa job from sa7asubh to saa1 jioni. Namshukuru Mungu mpaka sasa namiliki 2ml. cash.

Sasa nahitaji mnipe mawazo wapi naweza kuenvest hii pesa yang ambapo ntapata faida bila mimi kushriki physical kwenye mchakato mzima.
pesa yangu ipo m-pesa tu imetulia kama maji mtungini

Please kama unaweza kunsaidia kimawazo thanx you alot'
 
Una wife au mtu wa karibu unayekaa nae ambae hana kazi, kama unamuamini unaweza kumfungulia sehemu ?, Kama sio mimi kuna mdau ninamjua anafanya kazi ni mlinzi huwa akitoka jioni saa moja anaendesha boda boda yake mpaka saa nne ndio anakwenda kulala.
 
toka uvamizi wa tembo uanze ,biashara ya magobore imewalipa wengi
 
Hali mbaya kwa sasa subiri vunja vunja itulie na bodaboda ziingie mjini
 
Una wife au mtu wa karibu unayekaa nae ambae hana kazi, kama unamuamini unaweza kumfungulia sehemu ?, Kama sio mimi kuna mdau ninamjua anafanya kazi ni mlinzi huwa akitoka jioni saa moja anaendesha boda boda yake mpaka saa nne ndio anakwenda kulala.

Me sina mke wala ndug wa karbu aliyko jobless then wote ni madogo bado wanasoma
 
Me sina mke wala ndug wa karbu aliyko jobless then wote ni madogo bado wanasoma

Kama unaweza kuendesha pikipiki nunua pikipiki ambayo ukitoka kazini hio saa moja unaweza ukapiga kazi mpaka saa nne au saa tano (pia hio pikipiki itakuwa inakusaidia kukupeleka kazini..

Kuna watu kama wawili ninawajua mmoja dereva mwingine mlinzi (wote wakitoka kazini wanaendesha kidogo pikipiki zao ) kama unajua kijiwe chenye watu fanya hivyo
 
hello wana jf

mim nimeajariwa kwnye Kampuni fulan hapa dar ratiba zangu za kazi no holiday or weekend i mean everday nipo kwa job from sa7asubh to saa1 jion namshukur mung mpaka sasa namiliki 2ml.cash

sasa nahtaj mnipe mawazo wap naweza kuenvest hii pesa yang ambapo ntapata faida bila mim kushrik physical kwenye mchakato mzima.
pesa yangu ipo m-pesa tu imetulia kama maj mtungin

please kama unaweza kunsaidia kimawazo thanx you alot'

Njoo uwekeze kwenye biashara yangu upate gawio kila mwezi.au nipe mkopo....ni pm
 
hello wana jf

mim nimeajariwa kwnye Kampuni fulan hapa dar ratiba zangu za kazi no holiday or weekend i mean everday nipo kwa job from sa7asubh to saa1 jion namshukur mung mpaka sasa namiliki 2ml.cash

sasa nahtaj mnipe mawazo wap naweza kuenvest hii pesa yang ambapo ntapata faida bila mim kushrik physical kwenye mchakato mzima.
pesa yangu ipo m-pesa tu imetulia kama maj mtungin

please kama unaweza kunsaidia kimawazo thanx you alot'

mkuu usihofu,Kuna small business ambazo unaweza fanya pasipo uwepo wako,Kuna barbershop,usafiri km bodaboda,bajaj etc,Kuna mpesa na tigopesa,fanya utafiti zaidi.
 
Back
Top Bottom