Nigeria yamshikilia Blogger mwenzangu...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
A US-based Nigerian news blogger is being held without charge by Nigeria's secret service.

Jonathan Elendu was taken into custody on Saturday when he arrived in the capital, Abuja, on a family visit.

The State Security Service (SSS) has refused to allow his lawyers access to him and denied him a medical visit.

Elendureports.com is one of a number of diaspora-run "citizen reporting" websites about Nigeria and is known for publishing controversial stories.

According to Nigerian law anyone arrested must be charged in court within 48 hours, but correspondents say the rule is frequently broken.

The SSS told Mr Elendu's lawyer that Mr Elendu had not been "arrested", but "invited" for talks at their headquarters.

There haven't been many really controversial stories about the president on Elendureports.com in the last few months

Lawyer Ugo Muoma

An SSS spokesman said he was being investigated for "acts of sedition", but refused to give details.

Spokesman Kene Chukwu also told the BBC that Mr Elendu's detention had followed legal rules.

"I am telling you all the legal rules were followed, and you have to accept it," Mr Chukwu said.

Mr Elendu's lawyer says he has not spoken to his client since his arrest.

"They have not pressed any charges and have not allowed anyone to see him," said Ugo Muoma.

He said he was filing papers in court to force the SSS to charge or release Mr Elendu.

Elendureports.com operates from Lansing in Michigan and publishes often controversial stories about Nigerian politicians, accusing some of them of corruption and other crimes.

Their stories are often based on anonymous sources.

President's son

Another US-based Nigerian news website, Saharareporters.com, quotes anonymous sources as saying Mr Elendu may have been arrested because of photographs it published a few months ago showing President Umaru Yar'Adua's son.

Elendureports.com once mistakenly reported that Mr Yar'Adua had died

The Saharareporters.com pictures, which caused a stir in the local media at the time, showed 13-year-old Musa Yar'Adua waving wads of money around and holding a policeman's gun.

But Saharareporters.com says Mr Elendu is not a member of their staff and has nothing to do with the photographs.

International media rights groups Reporters Without Borders has called for Mr Elendu's release.

"There haven't been many really controversial stories about the president on Elendureports.com in the last few months," said Mr Muoma.

During the election campaign in 2007, Elendureports.com claimed that Mr Yar'Adua had died during a medical trip to Germany.

Two foreign journalists have been detained and deported by the SSS for reporting in the politically sensitive oil-rich Niger Delta region over the last few months.

In September, six local reporters and media executives were detained and questioned after a television channel reported, after receiving a hoax e-mail, that the president planned to resign.

My Take:
Nimeshtuka kusoma habari hii kwani Elendu ni mshirika katika mambo mbalimbali na kwangu ndiye mwalimu. Tumekuwa wote hapa Michigan kwa muda na mojawapo ya ripoti zangu kuhusu Mkutano wa Sullivan zinatokana na yeye. Sijui kama haya ndiyo yanatungojea wengine tukikanyaga nyumbani.

Free Elendu Now!
 
Karibu nyumbani...dont worry...the comedy leo wamefanya show ambayo i think ingekuwa rwanda pengine wangekuwa deported this night kuwa si wanyarwanda...

Tunasifika kwa uhuru wa vyombo vya habari japo na sie tumo kwenye kuwamaliza kiasi,not worse kama next door.

Kuna gazeti rwanda linaitwa umuseso if am not wrong mwandishi mmoja alikuwa ni critical sana kwa serikali...kama bwana wa mwana halisi...vile...kuna siku waliamka wakaambiwa kabebwa mzobe mzobe akawa deported karagwe akakae na wahaya wenzie yeye si mnyarwanda...rwandies are not clitical.
 
Mkjj, hofu ya bure babu.... hamna kitu critical cha kuhatarisha usalama wa Taifa ulichowahi kuandika. Hata yale aliyoandika Kubenea ni uonevu tu... nao wanajua. Asingeyaandika wangejuaje? But for your case, sioni...kuna wakati ulizidisha kidogo, lakini nadhani natural wisdom ili prevail ukajimoderate wewe mwenyewe.
wanaokutishia hapa kwenye mtandao wala usiwahofu...uropokaji wa kwenye keyboard tuu. hata kulipua baruti hawajui, sembuse kukunyofoa makucha au kukuvalisha 'iron boot'.....
 
SteveD, si yote tunayoyaandika yanaweza kuchukuliwa yanahatarisha usalama wa Taifa. Mengine yanatishia maslahi ya watu fulani fulani. Leo hii binafsi na washirika wangu wa Cheche nyumbani tumepokea simu za vitisho baada ya kuandika tena kuhusu NSSF. Hivi hamjajiuliza ni kwanini NSSF licha ya kutajwa kuhusika na vifo vya watoto hakuna magazeti, TV, au chombo chochote cha habari kikubwa nyumbani kilichothubutu kuinyoshea kidole.

Kuna watu walisema tusubiri hadi ripoti itoke, na ripoti imetoka na conclusively imeonesha kile ambacho wengine tulikidai from day one kuwa NSSF wawajibishwe na wakwanza kuwajibishwa ni Dr. Dau na pia Bi. Nyoni? Kwanini hakuna mtu anayetaka wawajibishwe wakati ushahidi uko wazi kuwa due to their criminal negligence wamesababisha vifo vya watoto hawa?

Hivyo, yes, kuna vitu vinatutia hofu au vinapaswa kututia hofu. Na kwa vile Watanzania wanapenda kusubiri tu wakikaa pembeni kushangaa na baadaye kujiuliza maswali bila kujaribu kutafuta majibu ndivyo hivyo sauti zetu zitakaponyamazishwa na then it'll be too late for tyranny would have its way!
 
Kwanza pole kwa maswahibu ya rafikiyo.
Don't worry be happy. Tanzania hatuna any law on internate. No cyber crimes in Tanzania. Any evidence from internate is not permissibe in Tanzanian court. Ile anti terrorism law imegusia internate lakini sheria hiyo ni kwa maslahi ya wamarekani na inatamka wazi watuhumiwa watashulikiwa na wamarekani wenyewe.

Hata biometrik data za idara yetu ya uhamiaji zimeshinikizwa
Kusimamiwa na zinahifadhiwa wamarekani.

So feel free to came back home.
 
SteveD, si yote tunayoyaandika yanaweza kuchukuliwa yanahatarisha usalama wa Taifa. Mengine yanatishia maslahi ya watu fulani fulani. Leo hii binafsi na washirika wangu wa Cheche nyumbani tumepokea simu za vitisho baada ya kuandika tena kuhusu NSSF. Hivi hamjajiuliza ni kwanini NSSF licha ya kutajwa kuhusika na vifo vya watoto hakuna magazeti, TV, au chombo chochote cha habari kikubwa nyumbani kilichothubutu kuinyoshea kidole.

Kuna watu walisema tusubiri hadi ripoti itoke, na ripoti imetoka na conclusively imeonesha kile ambacho wengine tulikidai from day one kuwa NSSF wawajibishwe na wakwanza kuwajibishwa ni Dr. Dau na pia Bi. Nyoni? Kwanini hakuna mtu anayetaka wawajibishwe wakati ushahidi uko wazi kuwa due to their criminal negligence wamesababisha vifo vya watoto hawa?

Hivyo, yes, kuna vitu vinatutia hofu au vinapaswa kututia hofu. Na kwa vile Watanzania wanapenda kusubiri tu wakikaa pembeni kushangaa na baadaye kujiuliza maswali bila kujaribu kutafuta majibu ndivyo hivyo sauti zetu zitakaponyamazishwa na then it'll be too late for tyranny would have its way!
Mkjj, Je, ulimaanisha corporate irresponsibility, au ndivyo hivyo hivyo?!

By the way, naelewa jinsi maslahi ya watu binafsi mnavyoyagusa na naelewa jinsi baadhi ya watu hao wanavyoweza kuwa waovu. Pole kwa yaliyomkuta rafikiyako.
 
Ndio maana niliwaomba sana muache ile topic maana kuna makubwa niliyokuwa ninayaona behind the scene, ambayo sikuweza kuyaweka hapa wazi.........!
 
Ndio maana niliwaomba sana muache ile topic maana kuna makubwa niliyokuwa ninayaona behind the scene, ambayo sikuweza kuyaweka hapa wazi.........!

Makubwa kuliko hata ya Richmond yaliyowaangusha vigogo akina Lowassa, Msabaha na Karamagi? Kama inawezekana tupe hata hints.
 
Makubwa kuliko hata ya Richmond yaliyowaangusha vigogo akina Lowassa, Msabaha na Karamagi? Kama inawezekana tupe hata hints.

Nitakutafuta badaye kwa pembeni wewe sina noma, maana siku hizi hapa pamechafuka..........
 
Nilidhani ukiamua kuwa muwazi na mkweli kwa ajili ya NCHI yako uko tayari kwa LOLOTE. Mzee, wa aina yako wasingekuwepo, Nchi hii ingekuwa wapi muda huu hasa kipindi hiki ambacho bado tunamtafuta mbadala wa MWALIMU.
 
Nilidhani ukiamua kuwa muwazi na mkweli kwa ajili ya NCHI yako uko tayari kwa LOLOTE.

Mkuu kumbe hujagundua kua maandishi yangu siku hizi hufutwa sana, ukienda kwenye topic ya Kubenea kuibuka na gazeti jipya utayajua haya.

Mimi kuogopa never!, ila nawaonea huruma wanaojaribu kuniogopesha maana siku zote huwa niko one step ahead yao, wanayo ya-discover sasa mimi ndiko nilikoamkia siku nyingi, mkuu jaribu kuwa carefully na events za humu kujua kinachoendelea, ukiona ninasema anything unusual ujue nina sababu huwa sikurupuki hata siku moja,

Humu ndani siku hizi tuna sell outs mno!, sasa akili kichwani mwako! Later Bwa! ha! ha! ha! ha!
 
Ndio maana niliwaomba sana muache ile topic maana kuna makubwa niliyokuwa ninayaona behind the scene, ambayo sikuweza kuyaweka hapa wazi.........!

Hili la kuona mambo na kushindwa kuyaweka wazi......Was it self censorship, uoga wa dhamira yako ama ndio uzalendo kwa nchi yako?.
 
Binafsi bado nina IMANI kubwa tu na JF. Muhimu nadhani ni kuzingatia RULES za humu jamvini, kuwa mkweli kwa kadri ya uwezo wako.
 
Mkuu kumbe hujagundua kua maandishi yangu siku hizi hufutwa sana, ukienda kwenye topic ya Kubenea kuibuka na gazeti jipya utayajua haya.

Mimi kuogopa never!, ila nawaonea huruma wanaojaribu kuniogopesha maana siku zote huwa niko one step ahead yao, wanayo ya-discover sasa mimi ndiko nilikoamkia siku nyingi, mkuu jaribu kuwa carefully na events za humu kujua kinachoendelea, ukiona ninasema anything unusual ujue nina sababu huwa sikurupuki hata siku moja,

Humu ndani siku hizi tuna sell outs mno!, sasa akili kichwani mwako! Later Bwa! ha! ha! ha! ha!

Mzee ES mbona unataka kuleta makubwa tena humu ndani?mi si nilidhani haya mambo yalishasawazishwa na Max?sasa mbona yanaibukia huku tena?
 
Adhabu iliyotolewa na jukwaa la wahariri haitoshi, dawa ni kususa shughuli zote za mawaziri na wadau wao....lets be strong here, Bravo Kubenea!
 
Back
Top Bottom