Nigeria: Tume ya Uchaguzi yahofia Uchaguzi Ujao kuwa na Misukosuko kuliko kawaida

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
Mwenyekiti wa Tume, Mahmood Yakuba, amesema ana wasiwasi kuhusu mashambulizi "kuongezeka" wakati nchi hiyo inapojiandaa kwa uchaguzi wa Rais unaotarajiwa kufanyika Februari, 2023

Akiongea katika mkutano wa dharura na tume hiyo baada ya ofisi zake mbili kushambuliwa Novemba 10, 2022 amesema tume hiyo tayari imefuatilia mashambulizi 50 yanayohusiana na uchaguzi katika mwezi wa kwanza wa kampeni pekee

Aidha, Mwezi uliopita, Ubalozi wa Marekani uliwahamisha wafanyakazi wote wasio wa lazima kutoka Abuja, ikitaja hatari kubwa ya shambulio la kigaidi katika Mji Mkuu

Vikosi vya usalama vimekuwa vikikabiliana na vitisho vingi nchini kote: ikiwa ni pamoja na waasi wa Kiislamu, magenge ya wahalifu wenye silaha na makundi yanayotaka kujitenga
-

Nigeria's electoral commission warns of violence

It fears the polls will be more turbulent than usualImage caption: It fears the polls will be more turbulent than usual

The head of Nigeria's electoral commission, Mahmood Yakuba, has said that he's worried about attacks "intensifying" as the country prepares for February's upcoming presidential elections.

There are concerns that next year’s tightly contested race could be more turbulent than usual, with Mr Yakuba adding that the commission had already tracked 50 attacks related to the polls in the first month of campaigning alone.

The comments were made during an emergency meeting by the commission after two of its offices were attacked on Thursday.

Last month, the US embassy evacuated all non-essential staff from Abuja, citing an elevated risk of a terror attack in the capital.

Security forces have been battling a range of threats across the country: including an Islamist insurgency, armed criminal gangs and separatist groups.

Source: BBC
 
Nigeria Kila kukicha matukio halafu wanazaliana kweli mpaka inajiuliza haya matukio wanazaa saa ngap😬
 
Back
Top Bottom