Nifanye nn na hili wapendwa?

Sweetlol

Senior Member
May 9, 2011
102
24
jaman ndo inatokea kila mtu au ni mm tu.?tangu tumeachana na aliekua mpenz wangu nikikaa nikiona kitu kizur na mkumbuka i wish to buy for him,nikilala naota we ar together nikisoma stories nnampa uhusika,nikiangalia muvi ndo shida kabisa.nau nimechoka na muwaza mtu ambaye haniwazi.what can i do people.
najaribu nisahau nnaenda mazoezi sana nau dayz najaribu kujikip buzy kupita kias but nil.nn cha ziada wapendwa?
 
Mliachana wakati bado unampenda. Listen to your heart before you say goodby.
 
we nae khaaa!
Evryday unashauriwa kuhusu huyo mpenz wako!
Kama vp mrudie . Sredi zako kila siku zinafanana! Sorry badilisha muziki.
 
sawa sweetlady sorry kwa kukukwanza.nntabadilisha ila hili ndo linanisibu kwa sasa..
 
jaman ndo inatokea kila mtu au ni mm tu.?tangu tumeachana na aliekua mpenz wangu nikikaa nikiona kitu kizur na mkumbuka i wish to buy for him,nikilala naota we ar together nikisoma stories nnampa uhusika,nikiangalia muvi ndo shida kabisa.nau nimechoka na muwaza mtu ambaye haniwazi.what can i do people.
najaribu nisahau nnaenda mazoezi sana nau dayz najaribu kujikip buzy kupita kias but nil.nn cha ziada wapendwa?
mhh ndo maana mie kabla sijaachana na mwanaume natafuta wa kumrithi....mateso gani haya sasa!
 
Sijambo mpendwa, Kampuni yangu ya uwakili inafilisika mbona siku hizi hunipi kesi?
Hahaha lolzDamahani kwa kusikia wapotezabusiness .. mie nliachwa kwenye Traffic lights bila kujua kosa...Kwasababu sikujua sababuNikaona haina haja ya kufungua Kesi bali kusonga mbele na maisha ..lolz
 
jaman ndo inatokea kila mtu au ni mm tu.?tangu tumeachana na aliekua mpenz wangu nikikaa nikiona kitu kizur na mkumbuka i wish to buy for him,nikilala naota we ar together nikisoma stories nnampa uhusika,nikiangalia muvi ndo shida kabisa.nau nimechoka na muwaza mtu ambaye haniwazi.what can i do people.
najaribu nisahau nnaenda mazoezi sana nau dayz najaribu kujikip buzy kupita kias but nil.nn cha ziada wapendwa?
Tafuta replacement asap..
 
kubali hali halisi, pia acha kufanya mambo ambayo mlikua mwafanya pamoja. Hang out with yr girls ili kuondoa upweke ambao utapelekea kumwuwaza!
 
Back
Top Bottom