lwidia2k
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 616
- 1,268
Pole sana classmate tulikua wote udsm 2015-2018.
Pole sana ndugu yangu, nilipitia maumivu kiasi lkn alikua ni mtoto wangu wa kiume alifariki 2021 akiwa na mwaka mmoja na miezi 9.
Ila kwako naona ni kubwa zaidi. Cha muhimu bwana prospa jitahidi kua na ustahimilivu wa kiume kwasababu wewe ndo mume wake.
Usiruhusu aione hofu yako kua unaenda kumpoteza atakosa amani kabisa. Wuoneshe tu upendo wa kila siku mfariji na kua mwema kwakwe huku akiamini ni wotenapambania uhai wake.
Jaribu kuwasiliana na viongozi wenu wa kiroho, ili awe anapata huduma za kiroho kama vile maombezi naeza ya bwana. Hivi vitu hua vinaleta faraja kubwa hasa katika nyakati zake za mwisho.
Jitahidi kulea vizuri watoto watoto nyakati hizi za taabu na ugonjwa ili apate imani kua wako sehemu sahihi hata yeye asipokuwepo.
Changamoto na maumivu unayopitia ni makubwa. Lkn jitahidi tu ndugu yangu.
We are men, we were born to deal with problems and solve complixity.