Nifanye nini kiwanja changu kiwe na muhuli wa mahakama pamoja na ati miliki?

karue

Senior Member
Oct 31, 2018
191
347
Salam ndugu zangu,
Ni mwaka wa pili Sasa toka niuziwe KIWANJA mbele ya serikali ya mtaa/ Kijiji
Naomba msaada au ushauri wa namna ya kupata Saini ya mahaka au HATI MILIKI .
Natanguliza shukrani zangu
 
hapo unahitaji mkataba wamauziano ulioshuhudiwa na wakili. Kuhusu hati nenda ofisi za ardhi watakupatia utaratibu
 
Hapa naomba ufafanuzi kidogo ,mkataba hupo wakili hajahusishwa nifanye nini Ili nipate Saini ya wakili?
 
Ili upate sign ya Wakili,ni lazima Wakili ashuhudie hayo mauziano,huo ndiyo utaratibu! Lakini kuna mawakili vishoka wao hawashindwi na kitu chochote cha kisheria wanaweza!!
 
wakili atafika eneo latukio atawahoji majirani na kiongozi wa mtaa walioshuhudia aliyeuza anaweza kupigiwa simu au kufuatwa akahojiwa na kusign mkataba biashara imekwisha...unaenda ardhi unaomba kupimiwa eneo lako kama hapajapangwa au kupimwa mji....kama pamepimwa awali na hati ya eneo lipo na namba ya kiwanja...wakili kwa kupitia maafisa ardhi wanabadilisha umiliki na hati kwisha...
 
Ahsate sana kwa ufafanuzi mzuri
 
Back
Top Bottom