Nifanye nini ili kumsaidia mpenzi wangu aliyekeketwa afurahie tendo la ndoa?

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Habari wakuu,

Kuna binti kutokea huko kaskazini tumetokea kupendana. Licha ya kuwa mzuri wa mwili, sura na matendo, ana kasoro moja tu ya kukeketwa

Tofauti na wanawake wengine niliowahi kuwa nao, huyu ni kama Robot tu. Yaani hisia sijui tuseme hana. Yuko kivyake vyake sana. Nimejaribu hata kuzama chumvini, hatikisiki hata. Nimetembeza moto vya kutosha ila sidhani kama anafika kileleni. Tendo lenyewe mpaka nimlazimishe au nimtishie kumuacha

Msaada wakuu, nifanye nini ili ayafurahie mapenzi?
 
Mshonee kinyama Mzee wangu
 
Ila ukeķetaji ni mila ya kikatili sana. Imargine mwanamke kama huyo hajawahi na hatokaa ahisi sex pleasure maisha yake yote. Yaani unakuwa unasikia tuu wenzio wakizungumzia utamu wa ile kitu halafu wewe hujawahi na hutokuja kuuexperience! Wanawafanyia ukatili wa hali ya juu sana aisee.
 
Habari wakuu,

Kuna binti kutokea huko kaskazini tumetokea kupendana. Licha ya kuwa mzuri wa mwili, sura na matendo, ana kasoro moja tu ya kukeketwa

Tofauti na wanawake wengine niliowahi kuwa nao, huyu ni kama Robot tu. Yaani hisia sijui tuseme hana. Yuko kivyake vyake sana. Nimejaribu hata kuzama chumvini, hatikisiki hata. Nimetembeza moto vya kutosha ila sidhani kama anafika kileleni. Tendo lenyewe mpaka nimlazimishe au nimtishie kumuacha

Msaada wakuu, nifanye nini ili ayafurahie mapenzi?
Pole sana! Mnafanya tendo la ndoa mmeoana? Nashauri uache uzinzi!

Kwenye "K" kuna spot 3 muhimu ambazo ni G-spot, A-spot na C-spot zinazoweza kumfanya mwanamke asisimke kwa raha wakati wa tendo la ndoa!

Nadhani mwanamke aliyekeketwa anaathirika G-spot na C-spot. Vinakuwa vimeondolewa. Hata hivyo nadhani bado lipo tumaini kumfanya afurahie tendo. Inabidi ujitahidi kugusa A-spot! Huko ndiyo mpango mzima. A-spot ipo ndani kidogo. Ukifanikiwa kugusa huko utafanikiwa kumfanya afurahie tendo na kumfikisha kileleni!

Mimi siyo doctor, huo ni mtazamo wangu kulingana na kidogo ninachojua! Naweza kukosolewa!
 
Kuna jamaa yangu alikutanaga na mmoja kama uyo.. hata amfanyie nn wap kalala ka ngombe. Hata mguni wa maumivu hamna dadek... Ndomana wanasema hii kitu don't try unapata HIV kirahisi mno! Uyo we mwache tu au kama utaweza kumvumilia ishi naye mana vijana wa kisasa nyie mnataka mavionjo kwenye sita kwa sita.. hao hawanaga hivyo vionjo ni sawa na ubwabwa uliopikwa bila chumvi mafuta wala chochote ni maji tu..
 
Kama hafiki kileleni na haonyeshi dalili za kuhangaika kufika huko kileleni, lakini anakususia unajikadiria utakavyo, basi deal na hisia zako. Unakuwa umepata sex toy.
Kama lengo lako ni wewe uhangaike ili afike kileleni, basi achana nae. Maana hutoweza.
 
Pole sana,kaa uzungumze naye kipi anafurahi zaidi,all in all kufika kileleni kwa mwanamke hakujawahi kuwa na effect katika kuzaana.
 
Back
Top Bottom