Nifanyaje na Mimi nialikwe Iftar Ikulu?

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,409
15,994
Ikiwa leo ndio wenzetu wameAnza mwezi mtukufu wa ramadhani na mh rais akawailika watu wale wale wa kila siku ktk iftari

Bas na mm Niko hapo mnipe mbinu ili nipate walau iftari ya pili itayo fanyika dodoma
Watu Ni wale wale wa siku zote ambapo wengine nimewazidi akili ,maarifa,na uwezo binafsi ila Bado wananizidi hii ya kualikwa ikulu kila mwaka kula pmj na mkuu wa nchi

There is the god in heaven we pray he answer
IMG_20240312_224102.jpg
 
Ikiwa leo ndio wenzetu wameAnza mwezi mtukufu wa ramadhani na mh rais akawailika watu wale wale wa kila siku ktk iftari

Bas na mm Niko hapo mnipe mbinu ili nipate walau iftari ya pili itayo fanyika dodoma
Watu Ni wale wale wa siku zote ambapo wengine nimewazidi akili ,maarifa,na uwezo binafsi ila Bado wananizidi hii ya kualikwa ikulu kila mwaka kula pmj na mkuu wa nchi

There is the god in heaven we pray he answer View attachment 2932977View attachment 2932976View attachment 2932975
Bahati mbaya dini tu haitoshi kwani hata maaskofu huitwa, umaarufu wako na uchawa wako ndiyo tikiti yako.
 
Ikiwa leo ndio wenzetu wameAnza mwezi mtukufu wa ramadhani na mh rais akawailika watu wale wale wa kila siku ktk iftari

Bas na mm Niko hapo mnipe mbinu ili nipate walau iftari ya pili itayo fanyika dodoma
Watu Ni wale wale wa siku zote ambapo wengine nimewazidi akili ,maarifa,na uwezo binafsi ila Bado wananizidi hii ya kualikwa ikulu kila mwaka kula pmj na mkuu wa nchi

There is the god in heaven we pray he answer View attachment 2932977View attachment 2932976View attachment 2932975
Haya mambo ya iftar.....tulialikwa sehem baadae jamaa yetu akatoa shukran...tunashukuru kwa futuru🙂....watu...astakafirrlwahi.....
 
Back
Top Bottom