Nifafanulieni jamani..................

pepim

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
335
51
Wana jf wenzangu poleni sana na majukumu ya j3....Wengi najua mmefunga ofisi na mnajiandaa kwa kwesho,ila co mbaya nikiwashirikisha katika hili...Naombeni ufafanuzi juu jambo hili,hivi katika mapenzi kilele nini?Je wanaume na wanawake hufika lileleni?Kama ndio,ni hali inayoonesha kuwa wamefika kileleni?Na mambo gani yatakayoonesha mwanamke amefikia kilele cha mapenzi?Nimewasilisha....
 
ukitaka kujua kama Mwanamke kafika kileleni utamwona anarembua macho kama anataka kufa vile.
 
Inawezekana robo karne asijue kufika kileleni kwani inategemea flngs na ujuzi wa kusoma udhaifu wa opponent uwanjani na kutumia vizuri hivyo kumuacha anapiga kelele bila kujielewa
 
kilele kipo cha kibo na mawenzi wewe ungelipenda kukwaa kipi ili nianze kumwaga nasaha zangu jamvini sasa hivi...........
 
Kumbe wale wazee wetu waliokuwa na utaratibu wa kuwapeleka vijana wao jando au unyago walikuwa na akili sana....

Sitashangaa keshokutwa tukitakiwa kutoa ufafanuzi wa jinsi watoto wanavyopatika au wanapatikana wapi!!

Ngoja nikawasimulie hadithi wajukuu!!

Babu DC!!
 
Kumbe wale wazee wetu waliokuwa na utaratibu wa kuwapeleka vijana wao jando au unyago walikuwa na akili sana....

Sitashangaa keshokutwa tukitakiwa kutoa ufafanuzi wa jinsi watoto wanavyopatika au wanapatikana wapi!!

Ngoja nikawasimulie hadithi wajukuu!!

Babu DC!!

Si baharini?
nakumbuka zamani tuliambiwa hivi
 
Back
Top Bottom