fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,065
Kwa nini fedha za Tanganyika zilichukuliwa kununua kitendea kazi cha muungano?? Mtanganyika kama angekuwa mtu wa makeke angedai serikali itoe maelezo kuhusu hilo. Lakini kwa upande mmoja unapata uthibitisho wa Tanganyika inavyojitolea kulea Zanzibar.
Kama kwamba haitoshi baada ya kutoa fedha za rada na rushwa pia, rushwa inarejeshwa nchi na kupewa jina zuri la kawaida kabisa eti chenji ya rada, wala sio rushwa ya rada tena. Mzanzibar ambaye alipewa ofa ya kuimalishiwa ulinzi wa nchi bila kutoa hata senti moja, anataka nae pia apewa hiyo rushwa ya rada, vile tu ni chenji iliyorudi baada ya suala la wizi ktk ununuzi wa rada hiyo kushindwa.
Mzanzibar, hoja yake inamashiko kama kwamba tu, pesa hiyo ilitolewa na kuwekwa kwa ridhaa ya Tanganyika kwenye kikapu cha muungano harafu baadae ikatumika kununua rada. Hapa mtanganyika ndo alitakiwa ahoji nani aliruhusu tanganyika kugawa fedha kama njugu???
Nani anaonewa hapa?? Mtanganyika au Mzanzibar???? Nani anafanya makosa haya, Je Tuchukue hatua gani??
Nawasilisha