Ni yupi utakayempa mkwanja kwanza?

hahahahahahah lol! mie nilivyoiona kwa mara ya kwanza wala sikutia neno niliamua kuminya tu :)...bora weye umeamua kumwambia. Mtafutie nyingine chapchap :)...ila kulikuwa na nyingine jamaa kapikwa kisu kichwani kwa nyuma kimetokezea usoni yaani ilikuwa inatisha sana, sijaiona kipindi sasa.

lakini bora yangu inatisha sasa ya Yo Yo si inakera mara ya kwanza nilipiga kibao monitor yangu nikijua ni nzi ha aha aha
 
Back
Top Bottom