Ni wakati wetu wa Tanzania kuitumia mitandao ya kijamii kuhamasisha nguvu ya umma

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,833
Serikali haitujali tena wananchi wake.
Hali imekuwa ngumu sana na hakuna uhakika wa kupata huduma muhimu kama afya, elimu, chakula, maji, umeme, mafuta n.k.
Sasa ni wakati muafaka wa wananchi kubadilishana habari na taarifa through social networks na kisha kufanya uamuzi wa kuingia barabarani na mitaani kuandamana mpaka pale SERIKALI LEGELEGE itakapo amka kutoka usingizzini.
 
Niko Ukonga FFU hata maaskari wamechoka na hali iliyopo na wako tayari kuungana bega kwa bega na wananchi kuleta mabadiliko.
 
Nikweli kabisa! Tunisia na Misri zimekombolewa kutokana na msaada kutoka mitandao ya kijamii!
Ni vizuri tukahamasishana mambo ya msingi kulikomboa taifa letu kwani saa ya ukombozi ni sasa!
 
Back
Top Bottom