Ni wakati sasa Katibu Mkuu wa CCM atoke Zanzibar

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,980
Ndio maana yake

Ili kumaliza figisu za hapa na pale ndani ya CCM ni vema Katibu mkuu wa chama ateuliwe kutoka Zanzibar

Mtu kama Sadifa mwenye uzoefu wa kutosha wa Uongozi na wengine Wengi hata Vuai Nahodha wanafaa kumrithi Komredi Chongolo

Nawatakia Sabato Njema 😄
 
Bwasheee utakuwa imenunuliwa, siyo bure..
Yaani:
M/kiti - Zenji
K/mkuu - Zenji
Duh
 
Chunguza vizuri akili zako kama zina akili zako zina akili.

Mwenyekiti ni Mzanzibar mwislamu, makamu wenyeviti ni Waislamu halafu unataka na Katibu atoke Zanzibar muislamu, ndio maana nimekwambia chunguza akili zako.
 
Ndio maana yake

Ili kumaliza figisu za hapa na pale ndani ya CCM ni vema Katibu mkuu wa chama ateuliwe kutoka Zanzibar

Mtu kama Sadifa mwenye uzoefu wa kutosha wa Uongozi na wengine Wengi hata Vuai Nahodha wanafaa kumrithi Komredi Chongolo

Nawatakia Sabato Njema 😄
Umelewa
 
Mbowe Mkristo

Tundu Lisu Mkristo

Mnyika Mkristo

Kigaila Mkristo

CPA Ruge Mkristo

Pambalu Mkristo

Mbona Chadema inafanya vizuri sana kwenye Siasa

Acha Kuishi Dunia ya Kale
 
Ndio maana yake

Ili kumaliza figisu za hapa na pale ndani ya CCM ni vema Katibu mkuu wa chama ateuliwe kutoka Zanzibar

Mtu kama Sadifa mwenye uzoefu wa kutosha wa Uongozi na wengine Wengi hata Vuai Nahodha wanafaa kumrithi Komredi Chongolo

Nawatakia Sabato Njema 😄
Vuai Nahodha anafaa sana.
 
Back
Top Bottom