Ni wakati Muafaka kwa CHADEMA kutenda hili

.......Kama kuna kitengo goigoi ndani ya CDM basi ni kitengo cha HABARI. Yaani bila msaada wa wanachama na watu nje ya chama wenye kupendezewa na harakati za CDM huwezi kujua nini kinaendelea ndani ya CDM au kuna mpya gani. Mara nyingi Mh. Regia amekuwa akijarbu kuwafichia aibu hii ya udhaifu katika kuhabarisha umma. Nashindwa kuelewa Erasto Tumbo kazi yake nini?....

Kumbe wachochezi CHADEMA wako wengi. Huyu naye ni mmoja wao.

Erasto Tumbo.png
 
......Yaani bila msaada wa wanachama na watu nje ya chama wenye kupendezewa na harakati za CDM huwezi kujua nini kinaendelea ndani ya CDM au kuna mpya gani. Mara nyingi Mh. Regia amekuwa akijarbu kuwafichia aibu hii ya udhaifu katika kuhabarisha umma. Nashindwa kuelewa Erasto Tumbo kazi yake nini? .......

Salva wa CDM ni bure kuliko wa Ikulu.
View attachment 40784
 
mwandishi kaandika kwa hisia zaidi wala hana uhakika na alichokiandika.....................tumpuuze katumwa
 
yale yale ya mtu yuko bukoba anatoa mchango wa sh 20,000
kwenye harusi inayofanyika dar afu anatumia nauli ya sh 200,000 kuja na kurudi
badala ya kuchangia 50,000 afu asihudhurie kama uwepo wake sio wa muhimu unless awe mzazi.
vile vile kwa chadema kama wamempa mchango wa fedha inatosha sio lazime kwenda india kwa wao sio madaktari.
 
Baija,

Sijatumwa na nina nia njema yawezakana tena kubwa kuliko ya kwako...

Kama kuna kitengo goigoi ndani ya CDM basi ni kitengo cha HABARI. Yaani bila msaada wa wanachama na watu nje ya chama wenye kupendezewa na harakati za CDM huwezi kujua nini kinaendelea ndani ya CDM au kuna mpya gani. Mara nyingi Mh. Regia amekuwa akijarbu kuwafichia aibu hii ya udhaifu katika kuhabarisha umma. Nashindwa kuelewa Erasto Tumbo kazi yake nini? Mna gazeti Tanzania Daima badala ya kutoa taarifa kama hizi lenyewe limezama kwenye kumsafisha Lowasa na kumponda Sitta.

Kwanza elewa vema hoja yangu. Nina hakika hutonishutumu.


CDM haina gazeti,hilo unalosema ni la Mbowe binafsi.
 
Back
Top Bottom