Ni vyema Vilabu vitakavyocheza na Timu ya Jeshi ya Mashujaa FC wakaielewa vyema hi Kauli Mbiu yao tukuka

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,747
109,202
Kauli Mbiu ya Mashujaa FC kutoka Mkoani Kigoma ( kwa Watani zangu Washamba ) inayomilikiwa na JWTZ na inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania inasema MAPIGO NA MWENDO hivyo mtakavaana nao Kikitokea cha Kuwatokea tusije Kulaumiana.

Na kuna Wachezaji kama Watatu humo ni wale Wazee wa Morogoro sasa mtakaocheza nao nyie Jichanganyeni yawakute kwani hiyo Kauli Mbiu yao ya MAPIGO NA MWENDO hawajaibuni Kimakosa bali wamemaanisha na wanamaanisha hasa.

Kazi ipo.....!!
 
Nimempenda sana Rafiki yangu MPWAYUNGU Village.

Ameomba kwa Uongozi WA Jamii Forum ( Moderators kuwa w fute Nyuzi zake ZOTE kwa sababu ZIFUATAZO.

1. Ameona ZINAJAZA SEVA za Jamii Forum bila sababu yoyote ya Msingi.

2. Ameona hazina umuhimu sana Kwa Jamii.
Hazina madini AU fursa kwa Jamii kuweza kuzitumia kama ( Reliable source of Information).

NADHANI TUNAOANDIKA PUMBA TUJITEKEBISHE.

TUILINDE JAMII forum WAOVU wasiishinde.
 
Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?

Kitendo cha Kuonyesha Unanichukia na Hunikubali lakini bado tu 24/7 unawashwawashwa Kunifuatilia kama Jibwa Jike lililo katika Heat ( hali ya kutaka Kupandwa na Dume ) unaonyesha kuwa Unanikubali sana na kukubali uwepo wangu Uliotukuka hapa Jamvini.

Nimemaliza.
 
Nakazia
 
Eti game changer
 
Itakuwa kapata ajira ya ualimu huyo sio bure.
 
KAZI IPO MSIMU HUUU
Hakika. Hapa ni MAPIGO NA MWENDO tu Kudadadeki. Shikamooni Wajeda ( JWTZ ) kwa hii Kauli Mbiu yenu ambayo GENTAMYCINE nimeipenda sana na kila nikiikumbuka najikuta Nacheka tu hasa nikiikumbuka jinsi mlivyo / walivyo na Tabia zao / zenu.
 
Nimempenda sana Rafiki yangu MPWAYUNGU Village.

Ameomba kwa Uongozi WA Jamii Forum ( Moderators kuwa w fute Nyuzi zake ZOTE kwa sababu ZIFUATAZO.

1. Ameona ZINAJAZA SEVA za Jamii Forum bila sababu yoyote ya Msingi.

2. Ameona hazina umuhimu sana Kwa Jamii.
Hazina madini AU fursa kwa Jamii kuweza kuzitumia kama ( Reliable source of Information).

NADHANI TUNAOANDIKA PUMBA TUJITEKEBISHE.

TUILINDE JAMII forum WAOVU wasiishinde.
Kama Mpwayungu ni rafiki yako basi bila shaka ndege wanaofanana huruka pamoja si ajabu mnalingana hata kiakili.
 
Kauli Mbiu ya Mashujaa FC kutoka Mkoani Kigoma ( kwa Watani zangu Washamba ) inayomilikiwa na JWTZ na inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania inasema MAPIGO NA MWENDO hivyo mtakavaana nao Kikitokea cha Kuwatokea tusije Kulaumiana.

Na kuna Wachezaji kama Watatu humo ni wale Wazee wa Morogoro sasa mtakaocheza nao nyie Jichanganyeni yawakute kwani hiyo Kauli Mbiu yao ya MAPIGO NA MWENDO hawajaibuni Kimakosa bali wamemaanisha na wanamaanisha hasa.

Kazi ipo.....!!
Hivi kwa nini lakini kwani sisi wa Sangasanga tumekukosea nini ndugu yangu
 
Back
Top Bottom