Ni ushamba Kulazimisha majina ya watoto yaendane hata kama hayaleti maana?

hayo majina yakachukua uhalisia wa maisha yao (ukweli)
sasa wewe kazana.
Jina halina maana yoyote zaidi ya kuwa Identity tu ya hapa duniani; Ukitaka kufahamu hilo angalia mambo yanayoendelea sasa ivi kwenye Dunia( Mauaji, Vurugu, Ugomvi) Hao watu wanaofanya hivyo wana majina ambayo sisi tunayafahamu na yana maana yake nzuri,
lakini maana ya majina yao imeshindwa kuwatengeneza wawe watu wema kwenye jamii; Hivyo Kuwa mwema ni Initiative binafsi haitegemei Jina kabisa
 
Wamakonde wana mila za ajabu.Mmakonde hasa wa zamani anakuwa na jina kulingana na mazingira alipo na umaarufu wa tukio.mfano
Rangi Tanganyika
Chadamu Ucheni
Uchama Biladeni
Joji Buchi
 
Ahsante kwa ushauri lkn sitoufanyia kazi, Me na wife majina yetu yanaanza na herufi "M" hivyo tumeamua watoto wetu majina yao nayo yaanze na herufi M. Tayari tuna wawili Muddathir na Munira, tukijaaliwa mtoto mwingine utaratibu ni ule ule wa kuanza na herufi M
 
Back
Top Bottom