Muttaline
Member
- Apr 21, 2012
- 80
- 10
cha muhimu ujumbe umefika best ata kaz nshapata cha kushangaza nimetoka chuo kizuri tu apa nchini
Duh kazi bado kubwa, chukulia mchango wake positive basi maana kwa uandishi huu kweli kuna walakini na elimu yako.
Hakukuwa na lazima ya kujibainisha kama msomi wa chuo kikuu