BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,720
- 6,528
Kwanza ieleweke kwamba migao ya umeme huwa ipo sana sio kwa Tanzana pekee bali nchi nyingi tu, hasa kutokana na mambo mengi kubwa ni kutokana na majanga kama ukame na kadhalika.Ila majanga yanapo tulia basi migao ya umeme huisha au kupungua kabisa. Tanzania ni tofauti kabisa iko kinyume chake.Haijalishi kuna nini wala nini.
Kwa utafiti wangu wa haraka haraka ndani ya wiki kadhaa, nimebaini kwamba kwa sasa ni Tanzania pekee ndio kuna mgao mkari wa umeme Africa nzima, bila kujalisha mvua zinanyesha au la, ni migao ambayo hatujui sabanu kwani mvua zimenyesha za kutosha.
Nchi nyingi zilizo kuwa na migao kama Zambia kwa sasa imetulia baada ya Mvua kunyesha kule kwenye bwawa lao kubwa la kariba na elewa ni mvua za Masika ndio zilituliza mgao kule Zambia, maoe wao hawana hizi Elinino.
Cha ajabu kwa Tanzania ni tofauti, kuna migao ambayo haijalishi kuna mvua au mafuriko au ukame, tunazidiwa hadi na Somalia kwenye vita kule. Nchi ija migao ya umeme mwaka mzima na kibaya zaidi hakuna dalili za migao kupungua kwa siku za karibuni, kuna uwezekano haki ikaenda hadi Dec Mwakani tena.