Ni sawa bunge la tanganyika kuendeshwa na kila mtu badala ya spika mwenyewe

Kuntakint

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
1,767
1,525
Imekuwa ni kawaida ya bunge la Tanganyika linaloendelea uko Dodoma kuendeshwa na kila mtu. Utasikia asubui Mara Ndugai. mara Zungu na wengine wengi. Nionavyo katika bunge la wenzetu hasa Uingereza mara nyingi na muda wote anakuwepo ni spika tu, sio naibu wala mwenyekiti sijui wa nn. Inabidi bunge lizingatie maadili. Spika alichaguliwa kuwa bungeni muda wote labda itokee anaumwa. Kama kuna vikao inabidi wasaidizi wake ndio wahudhurie lakini yeye hapaswi kukosa kwenye kila kikao. Asikwepe lawama inatakiwa hawepo pale kila kikao kinapofanyika. Au ndio mbinu za ccM, ili tusijue udhaifu wa spika.
 
hapa bongo eti kamati nazo wenyeviti wao nao wanakaa pale mbele...ni njia tu ya kujipatia pesa za bure.
 
Back
Top Bottom