Ni sahihi kwa wasiokuwa wapenzi kubusiana?

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,046
10,695
Kwa tamaduni hizi za sasa za kimagharibi ,si ajabu ukakuta watu wasiokuwa wapenzi wana hug/busiana hadharani.Je hii ni sahihi kwetu waafrika kufanya haya?
 
Waafrika sio utamaduni wetu, wengine kukaa tu karibu na mkwe hawaruhusiwi, itakuwa ku hug
 
Waafrika wa wapi? Kwa watusi ku hug ni sehemu ya utamaduni wao, wana hug kila mtu wakisalimiana naye isipokuwa mhutu.
Kweli,kama ni nje ya mhutu wana-hug siyo?Hiyo ni noma mkuu.
 
Acha watu waishi maisha yao...

We kinachokudanganya kwamba sio wapenzi mpaka ufikie conclusion ya kwamba sio sahihi kwao kufanya hivyo ni nini haswa?!Ukweli wanaujua wao na sio wewe....hata kama ni watu wako wa karibu!!
 
Mi nadhani inategemea na mitazamo yao, usahihi au kutokua sahihi kwa jambo fulani inategemea na mtu binafsi regardless uzungu au uafrika wake
 
Kwa mimi kuna marafiki wachache ambao kama sijawaona long time lazima niwape hug; marrafiki wa kike karibu wote nawapa hug kama sijawaona long; wa kiume ni wachache sana wanapata hiyo bahati. Kissing big No. Naweza kukiss rafiki wa kike tu na ni cheek kiss si french kiss.
It is only my hubb who gets tongue kiss.
Wanangu nawabusu kwenye forehead to show love.
 
Back
Top Bottom