Ni sahihi kumuacha mpenzi wako kwasababu ameku-cheat?

Hey Guys!

Mnaendeleaje, Poleni na majukumu, naomba mawazo yenu juu ya hii changamoto hapa.

Hivi ni sahihi kumuacha mpenzi wako aliyekucheat na kama ukiamua kumsamehe ni muhimu kufahamu kuwa mahusiano yao na huyo aliyecheat nae yameishia wapi?
Inategemea jinsia yako..
Kama aliyeku cheat ni mumeo, kumuacha siyo lazima, inatakiwa uangalie mambo kadhaa kabla ya kuamua.

Kama wewe ni Me, na mkeo kaku cheat, hapo hakuna mjadala, piga chini upesi. Chumvi ikishaharibika haina dawa!
 
Hey Guys!

Mnaendeleaje, Poleni na majukumu, naomba mawazo yenu juu ya hii changamoto hapa.

Hivi ni sahihi kumuacha mpenzi wako aliyekucheat na kama ukiamua kumsamehe ni muhimu kufahamu kuwa mahusiano yao na huyo aliyecheat nae yameishia wapi?
Unaweza kumsamehe tu, ila kuendelea kuishi naye ni majanga kwako maana hakucheat kwa bahati mbaya bali ni tabia yake natural, sasa ya nn ubaki naye huyo mzinzi?

Hata Yesu alisema achana na mzinzi.
 
Hey Guys!

Mnaendeleaje, Poleni na majukumu, naomba mawazo yenu juu ya hii changamoto hapa.

Hivi ni sahihi kumuacha mpenzi wako aliyekucheat na kama ukiamua kumsamehe ni muhimu kufahamu kuwa mahusiano yao na huyo aliyecheat nae yameishia wapi?
Sisi wanaume kila siku tunacheat na hatuachwi.......Sio sahii kumuacha mwanamke eti kisa kacheat..
 
Kabla ya kumsamehe fikiria kwanza alivyokuwa anafinyiwa kwa ndani....,

Sasa wewe jiulize kama unaweza pambania kombe kama ila kaa ni gogo my friend utapigwa tukio mpaka uhisi kichwa kinazunguka......

Anyway Wizara ya Mahusiano na Minyanduano mpo hapa......

Hili nalo mkalitazame
 
Umezungumzia cheating very casually,

Exception are bound, wapo waliotulia baada ya kufanya makosa hayo(kucheat) , ila for the most part, once a cheater always a cheater, na manaume huwa hasamehi cheating ila anasahau tu, akilikumbuka hasira zinarudi pale pale
 
Back
Top Bottom