TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,079
Kuna tetesi kuwa, kwa wanawake wanaotumia aina yoyote ya dawa/mafuta ya nywele huku wakiwa wajawazito,wanahatarisha usalama wa watoto watakao wazaa/jifungua, kwani inasemakana kuwa ni rahisi kemikali iliyoko kwenye dawa/mafuta hayo kupenya kwenye ngozi ya kichwa na kufikia kiumbe kilichoko kwenye mfuko wa uzazi wa mjamzito, na kemikali hizo kuhathiri vinasaba vya kiumbe hicho.JFDr. naomba unipe ukweli kuhusu tetesi hii.