Ni mwiko mzungu kuwa kiongozi Asia hasa Uarabuni?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,641
46,283
Raia wengi wa Asia(Uarabuni, China, India, Russia, Uturuki, Pakistan n.k) wamepata nafasi za juu na muhimu za uongozi huko West hasa US, Canada na Uingereza na pia katika bara la Amerika ya Kusini lakini hakuna wazungu wa kutoka hizi sehemu katika nafasi muhimu za uongozi katika nchi hizo za Asia na Uarabuni.

Kwa nini hali ni tofauti kiasi hichi? Kitu gani kinachowazuia wazungu kuwa viongozi katika hizi nchi za Asia?
 
Sasa jamaa si mzawa au mie ndo sijui. Leo hii ukizaliwa marekani wewe utakuwa mmarekani hata kama wazazi wako wana asili tofauti. .

Hata wahindi wengi hapa bongo ni watanzania kwanza wengine hata hawajulikani huko kwenye asili zao. .
 
Raia wengi wa Asia(Uarabuni, China, India, Russia, Uturuki, Pakistan n.k) wamepata nafasi za juu na muhimu za uongozi huko West hasa US, Canada na Uingereza na pia katika bara la Amerika ya Kusini lakini hakuna wazungu wa kutoka hizi sehemu katika nafasi muhimu za uongozi katika nchi hizo za Asia na Uarabuni.

Kwa nini hali ni tofauti kiasi hichi? Kitu gani kinachowazuia wazungu kuwa viongozi katika hizi nchi za Asia?
Hawajiamini
Mila na tamaduni za kibaguzi
 
Hakuna wazawa wazungu Uarabuni, China, Russia, India, Pakistan, Iran ?
Sasa jamaa si mzawa au mie ndo sijui. Leo hii ukizaliwa marekani wewe utakuwa mmarekani hata kama wazazi wako wana asili tofauti...
 
Atakuaje kiongozi ASIA na wakati hajagombea huo uongozi.
 
Kweli kabisa maana Sonia Ghandi alikosa uwaziri mkuu wa India kisa Asili yake Italy
Huwezi kua Muhindi halafu asili yako iwe Italy,Origin yake ni India,
Labda useme coz alizaliwa Italy coz Sonia Gandhi kazaliwa Lusiana Conco Italy.
 
Kwa nini hali ni tofauti kiasi hichi? Kitu gani kinachowazuia wazungu kuwa viongozi katika hizi nchi za Asia
Raia wa kizungu walio ndani ya nchi za kiasia wengi wao hujihusisha na biashara zaidi kuliko siasa kwa hiyo ni nadra sana wao kujiunga na vyama vya kisiasa vya hao mataifa.
 
Back
Top Bottom