Ni mwaka sasa, napata usingizi saa 8 usiku na naamka saa 11 alfajiri.Ndoto ninazoota ni ngumu

GEUZA CHANGAMOTO KUWA FURSA; KAOMBE KAZI YA ULINZI, HUNA TATIZO; JIONGEZEE KIPATO KWA KUFANYA ULINZI HALAFU ASUBUHI NENDA OFISINI KWAKO KAMA KAWAIDA; HIYO NI FURSA YA UTAJIRI....SIYO KILA JAMBO NI HASARA....THINK BIG
 
Piga mazoezi sana ndugu , achana na blah blah zingine. Kimbia sana , ogelea sana ,ruka kamba ,punguza misosi mizito usiku omba kabla ya kulala afu uone kama utakuwa hauamshwi na alarm.
 
Aisee! Hiyo namba 5 kuna jamaa anakosa hadi hamu ya kula, naomba tumsaidie tiba.

Samahani mkuu,nijibu yafuatayo tuweze kupata pakuanzia..
1. Umetoka jela hivi karibuni?
2. Kuna tukio umefanya la hatari kiasi kwamba una mashaka mashaka?
3. Una familia na umefukuzwa kazi au biashara haziendi vema?
4. Kuna mwanamke\mwanaume uliyempenda sana na mmeachana au kaku dissapoint kwa namna yyte ile?
5. Unawachukia sana wasukuma? Maana miezi 13 ni sawa kabisa na umri wa madaraka wa Ngosha.

Embu angalia kama Upo ktk category yyte hapo nione namna ya kuanza kukushauri mkuu.
 
Hata kama hukutaka Rais Magufuli awe Rais ndiyo Rais tena wewe endelea na kazi zako kama ni halali na siyo halali hautapata huo usingizi.

Rais anachotaka yeye ni wewe kufuata sheria na kufanya kazi au biashara zako tu.

Subiri 2020 tena umchague umpendaye na kama atapita.

Pole sana na ukikosa usingizi kwa muda mrefu unaweza kupata madhara kiafya.


JPM namkubali sana,anatupa chachu ya kufanya kazi.N chaguo letu.
 
[accused] namba 5 hiyo hata mimi sipati usingizi
Ha ha ha, sasa mkuu cha kufanya ni kukaza buti na kufanya kazi kweli kweli, maana hiyo namba 5 ni kama vile mtu alieukwaa ukimwi half anaacha kukubaliana na uhalisia kua kaathirika. Huo ni ukimwi wetu na Hatuna budi kumeza vidonge sanaa ili kunusuru maisha yetu kwa miaka tisa ilosalia
 
Lita na nusu chai mkuu?We n mganga wa kienyeji?

Soma kilichoandikwa na ukielewe, umeambiwa Maji Lita moja na nusu na siyo chai.
Half Umetaka ushauri so be carefully, watu wanajaribu kukupa solution so usipuuze,unless umeleta mada fake isiyokuhusu
 
Aisee! Hiyo namba 5 kuna jamaa anakosa hadi hamu ya kula, naomba tumsaidie tiba.
Mkuu tiba hapo ni kujituma kama mwehu tu maana hakuna namna sasa. Ngosha hana huruma,tukomaeni kufanya kazi na kua wabunifu.
 
GEUZA CHANGAMOTO KUWA FURSA; KAOMBE KAZI YA ULINZI, HUNA TATIZO; JIONGEZEE KIPATO KWA KUFANYA ULINZI HALAFU ASUBUHI NENDA OFISINI KWAKO KAMA KAWAIDA; HIYO NI FURSA YA UTAJIRI....SIYO KILA JAMBO NI HASARA....THINK BIG
Jamaa una akili sana Leo... Huu ushauri anatakiwa kuufanyia kazi mapema sana
 
Wahi kamuone Dakitari wa magonjwa ya akili (psycology)
Mueleze unavyo jisikia, kuchelewa na kuwahi kuamka...ndoto unazoota, una khofu kubwa na wasiwasi ni jambo lipi limekukuta...

Upo ugonjwa/hali fulani inaitwa schizophrenia, ambapo ndio dalili ya hali nzima ya jinsi unapopitia...

Unaweza kupewa dawa maybe za kukupa usingizi na kutuliza maumivu pengine ya msongo wa mawazo....then utarudi katika hali ya kawaida.....
 
Back
Top Bottom