Ni mv skagit na sio sea gull imepinduka na haijazama bado iko inaelea

Profesa

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
905
624
Boat hii iliuzwa kwa Tanzania mwaka 2011 na kwa taarifa zaidi fuatilieni thread hii iliyorushwa humuhumu Jamvini: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...te-sells-2-passenger-ferries-to-tanzania.html

State passenger ferries sold and leaving for Tanzania | KPLU News for Seattle and the Northwest

Kwa mujibu wa Munir Zacharia wa Chanel 10 Bado Haijazama inaelea na vikosi vya uokoaji wanajitahidi kufanya uokoaji. Inasemekana kutakuwa na vifo kadhaa tayari BBC wamecover habari hii BBC News - Tanzania rescue bid as ferry sinks off Zanzibar

Pia ni vema kufahamu kuwa Boat hii iliwahi kusimamishwa shughuli zake kutokana na hofu ya usalama wake hivi karibuni mnamo mwezi wa February angalia hapa: Zanzibar news update – MV Skagit stopped from sailing to Pemba by ZAM over safety concerns « Wolfganghthome's Blog
 
Mkuu mpaka sasa ninaweza kuthibitisha kwamba maiti zaidi ya kumi wametolewa baharini na wamefikishwa hospotali,sijui kuelea kwa meli kunaweza kukasababisha vifo vya watu wengi namna hii kwa namna gani?
 
Lakini mbona hizi taarifa zilaanza toka tangu saaa 7 mchana watu waanza puuzia
 
Mkuu mpaka sasa ninaweza kuthibitisha kwamba maiti zaidi ya kumi wametolewa baharini na wamefikishwa hospotali,sijui kuelea kwa meli kunaweza kukasababisha vifo vya watu wengi namna hii kwa namna gani?

Mkuu sangara, boti hii tuliuziwa na serkali ya Marekani hivi majuzi tu!!! Yawezekana wamekunywa maji. Natumai somo la kujiokoa namaafa liopngezwe kwenye mtaala.
 
396857_264420340325785_1630874751_n.jpg

Ni huzuni kwa kweli, sipati picha hao waliopo humo............
 
Mkuu sangara, boti hii tuliuziwa na serkali ya Marekani hivi majuzi tu!!! Yawezekana wamekunywa maji. Natumai somo la kujiokoa namaafa liopngezwe kwenye mtaala.

Mkuu, kwani mkiuziwa na Amerika hivi majuzi boti haiwezi kuwa mbovu. Labda jiulize kwa nini waliiuza?
 
Mpaka sasa maiti 60 zimepatikana na meli zimeshindwa kufanya uokozi kutokana na upepo mkali,
 
Mkuu, kwani mkiuziwa na Amerika hivi majuzi boti haiwezi kuwa mbovu. Labda jiulize kwa nini waliiuza?

Dah natumai wakulu walioko Bungeni wataweka hoja ijadiliwe hii ni swali zuri sana
 
Mbona mnatuchanganya jamani coz taarifa ya habari ya saa kumi Tbc wamesema ni seagul na meli imezama au na wao wanabahatisha tu??
 
Mkuu sangara, boti hii tuliuziwa na serkali ya Marekani hivi majuzi tu!!! Yawezekana wamekunywa maji. Natumai somo la kujiokoa namaafa liopngezwe kwenye mtaala.

Prof,
Ndio mliuziwa juzi lakini haimaanishi kuwa chombo kilikuwa kipya, wale Yankees tayari walishatumia hicho chombo kwa miongo kadhaa...:hat:
 
Mkuu sangara, boti hii tuliuziwa na serkali ya Marekani hivi majuzi tu!!! Yawezekana wamekunywa maji. Natumai somo la kujiokoa namaafa liopngezwe kwenye mtaala.

Profesa, wake up comrade. Hata mitambo ya Richmond ilitoka huko huko Marekani, do not take this matter for granted.
 
Mbona mnatuchanganya jamani coz taarifa ya habari ya saa kumi Tbc wamesema ni seagul na meli imezama au na wao wanabahatisha tu??

Mkuu, kwa ulimwengu wa TZ wa sasa uliosheheni siasa za kishabiki kila upande unaweza kweli kupata habari za uhakika kupitia TBC!!??
Nina imani usiku TBC watamsifia Mhe. Spika Makinda kwa moyo wa huruma wa kuamu kuahirisha bunge ili wabunge wapate wasaa kushughulika na dhahma hii ya meli kuzama, japo bila aibu aliikataa hoja ya bunge kuahirisha kikao akidai eti ajali haikutokea Chamwino!!
 
Mbona mnatuchanganya jamani coz taarifa ya habari ya saa kumi Tbc wamesema ni seagul na meli imezama au na wao wanabahatisha tu??
Usisahau TISS wana haha sasa maana wasingependa habari hii iibuke tena itaiweka seriakli pabaya, ila ni panick ya kijinga maana mwinsho wa siku iko wazi vyombo vya kimataifa vimetangaza mapema kabla yetu with acurace
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom