Ni muhimu Sana kupata mwanamke anayekusikiliza nafikiri kusikilizwa inatakiwa ndio iwe sifa kuu

Aweee
Edit hii kitu… hujakutana wewe na waoaji ambao hujawafeel? Huwavibe na chochote? Unless otherwise uwe ni yule ambaye huna choices, hata sielewi umemaanisha nini kutujibia hivyo.
Siwezi edit, maana ni uhalisia, mahari pia wanajilipia, wanabeba na mimba ili tu waolewe...

Makanisani nako wapo wanatafuta ndoa...

Choice hawana saivi...
 
Pole sana boss,, huyo Dem atakuuwa na pressure, kabsa nakwambia,, Sasa Ili umusahau, tafuta Dem mwingne Kwa nguvu yyte ile Ili uwe unapoza usikae na mmoja tu,,, lengo umusahau kabsa hii itakusaidia kuachana nae,, futa no ake na umblock Ili asikupate popote pale tsup mpk sms
 
Rebound relations huwa hazidumu. Éti ili umsahau inabidi uchukue demu mwingine?

Anatakiwa afanye maamuzi kama ni ku sort matatizo yao au kumuacha. Na akimuacha akae si chini ya miezie mitatu bila kua na demu mwingine akijitafakari na kumsahau.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom