ni Muafrika mwenzetu ila kabahatika!

pageup

Senior Member
Oct 12, 2012
156
59
attachment.php

karibu tanzania
 

Attachments

  • 1044495_622211067798353_1946358536_n.jpg
    1044495_622211067798353_1946358536_n.jpg
    45.3 KB · Views: 1,538
Hakuna cha bahati ni kukazana kufanya kazi kwa bidii na kujiwajibisha; angekuwa anategemea bahati saa hizi angekuwa anakunywa gongo kwa bibi yake kule Kogero!!!Kaza buti mwananchi magamba wasikukatishe tamaa kuna siku watasepa!!!
 
Si mwafrika mwenzetu kazaliwa toka katika tumbo la mzungu, na kakulia katika nchi ya wazungu, angezaliwa toka tumbo la mwafrika mwenzetu angalau, na ndiyo maaana wazungu wamemchagua kwa kuwa katoka kwa mzungu mwenzao siku zote, wazungu walisema if you are White you are ALL RIGHT if you are black stay at the BACK if you are Brown you can stick around! obama is brown if not yellow he can stick around, blacks have to stay at the back!
 
Back
Top Bottom