Ni 'Mpuuzi' gani 'alimdanganya' Mzee Stephen Wassira kuwa Tundu Lissu anataka kuwa Rais wa Tanzania kwakuwa tu alipigwa Risasi Dodoma?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,910
109,659
"Kuna watu wanagombea urais nimewasikia mwingine anasema ameonewa sana 'nimepigwa risasi', hiyo kupigwa risasi ni jambo baya lakini sio kila anayepigwa risasi anafaa kuwa rais, vinginevyo watu wote wangetamani kupigwa risasi ili wawe marais." - Stephen Wasira.

globalpublishers

Nyie Watoto wa Mzee Wassira akina 'nanihii' hebu mjitahidi 'Kumzalia' huyu Mzee 'Wajukuu' wengi ili 24/7 awe 'busy' Kucheza nao kwani anatuboa.
 
Na siyo kila sokwe anaishi mbuga ya Gombe, wengine tunao mtaani ila hawajui kufunga vufungo vya suti na wanapiga usingizi kila wakiwa mkutanoni.

Kumbuka uumbaji ni kazi ya MWENYEZI MUNGU. Wewe huwezi kuumba hata sisimizi au punje ya mchanga. Hujafa hujaumbika.
 
Kumbuka uumbaji ni kazi ya MWENYEZI MUNGU. Wewe huwezi kuumba hata sisimizi au punje ya mchanga. Hujafa hujaumbika.
Na kazi ya kupiga risasi wapinzani mchana ni ya nani?

Nilutegemea wazee kama hawa waliokuwa wanafanya kazi pembeni na Baba wa Taifa wawe ni wa kwanza kumuambia Magufuli UNAKOSEA!! Kinyume chake nao wanaleta kejeli juu ya mtu aliyenusurika kufa kwa kupigwa risasi 16 na "wehu" waliotumwa na Serikali.
 
Mkuu cha Kunikera zaidi ni kwamba huyu Mzee ni wa kule kule ambako Wahaya, Wanyiramba, Wanyaturu, Waha, Warangi na Wakara wanapajua.
Kuna watu ukiwaona inabidi aidha uwakane au wewe ubadilishe kabila lako kwa muda. Hivi kwa umri wake Wasira anajitoa ufahamu ili apate nini? Mazishi ya heshima au kitu gani? Ulishawahi kuona Warioba au Butiku wakiongea utopolo kama huu?
 
"Kuna watu wanagombea urais nimewasikia mwingine anasema ameonewa sana 'nimepigwa risasi', hiyo kupigwa risasi ni jambo baya lakini sio kila anayepigwa risasi anafaa kuwa rais, vinginevyo watu wote wangetamani kupigwa risasi ili wawe marais." - Stephen Wasira.

globalpublishers

Nyie Watoto wa Mzee Wassira akina 'nanihii' hebu jitahidi 'Kumzalia' huyu Mzee 'Wajukuu' wengi ili 24/7 awe 'busy' Kucheza nao tu kwani anaboa.
 
Tatizo Tanzania SIASA imekuwa ndio kila kitu wengine wanajivua hadi ubinafamu ili tu asije kosa ugali wake.

Huyu mzee Sokwe hataki kukubali kuwa hivi leo he is IRRELEVANT!!! Wenzie penye akili timamu wanapumzika wanakula pension Yao na kucheza na wajukuu zao kwa raha zao!!!
 
Na kazi ya kupiga risasi wapinzani mchana ni ya nani?

Nilutegemea wazee kama hawa waliokuwa wanafanya kazi pembeni na Baba wa Taifa wawe ni wa kwanza kumuambia Magufuli UNAKOSEA!! Kinyume chake nao wanaleta kejeli juu ya mtu aliyenusurika kufa kwa kupigwa risasi 16 na "wehu" waliotumwa na Serikali.
Hapo sawa kabisa
 
Stephen Masatu Wasira
Tangu Asinzie Bungeni
Kufunga Vifungo Vya Koti Hovyo
Nilijua Kuna Tatizo Kubwa Kwake Ambalo Linahitaji
Atulie Home, Aache Kuzungumza Maana Anakosea Muda Wote
Tumsamehe Bure!!!
 
Back
Top Bottom