Ni mmoja wao Dkt. Magufuli, Membe na jaji Ramadhani

Jenerali....nilisikitika sana baada ya kusikia jamaa anajifagilia kuwa anafahamika kimataifa kwahiyo hatahitaji kuwekeza na kutumka muda mwingi kwenye kujitambulisha! Inasikitisha sana

Kwani Uhuru Kenyatta alijitambulisha kwa nani? Obama alipochaguliwa alienda kujitambulisha kwa nani?
 
CCM inakufa wiki hii! Rais ni Slaa! Lowassa, team Lowassa komaeni! Uswahili hauwezi kudhalilisha cream ya nchi!

Tuliipenda sana ccm!_/ lakini imependwa zaidi na muumba!/
jeshi la ukawa tawanyika /
**KWA NGUVU ZOTE TUUNGANE KUZUIA GOLI LA NAPE**
**TUSIIKUBALI DHULUMA YA AINA YOYOTE**
 
Magufuli is emotionally unfit kwa nafasi ya juu, amejipatia umaarufu kwa sababu ya ombwe la uongozi ndani ya CCM kiasi kwamba tumeweka viwango vya chini mno vya umahiri wa uongozi!

Mtu akisimamia barabara mbili tunampa sifa na pongezi za ziada utafikiri hilo sio jukumu lake! Mfumo wa uongozi wa sasa umeoza, unahitaji kufumuliwa na watu toka nje ya mfumo huu!
Ni bora ya huyo kuliko wengine wanaoshindwa kusimamia hayo majukumu yao
 
Ramadhani siwezi kumpigia kura yangu kwasababu anakwenda kuleta kulindana... Ukawa tujiandae na mtu wetu tupambane na huyu mzee ambaye hata influence hana
 
Historia inaonyesha Magufuli ndo mwanaCCM pekee anayekubalika hata akikanyaga kwenye majimbo imara/ngome za upinzani..
Kwa upole wa Ramadhan anafaa kuwa makamu wa rais (sampuli za Shein)...pia yeye ni rahisi kuwa criticized kwa kushindwa ku overhaul juciary system wakati yupo kama Chief Justice...
Membe iko wazi kabisa...kwa personality yake, inaonekana atakuwa muendelezo wa J.K (na kwa sasa watu wanataka utawala makini uliochanganyika na chembechembe za ki dikteta)
Dr. Magufuli kimya kimya hadi Ikulu!
 
MAGUFULI sio jembe tu bali ni RATO

Alichukua form kimya kimya, akatafuta wadhamini bila makeke, akaenda Dodoma bila filimbi. Akiulizwa anasema anasubiri Ilani ya Chama.

Huyu ni miongoni mwa mawaziri ambao wameitekeeza ilani ya CCM ya 2010/2015 kwa hali ya juu. CCM inajivunia utekelezaji wake kwenye miundombinu ya Barabara. Huyu anastahili kuibeba CCM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom