Mwaka huu 2024 utakua ni mwaka wa 5 tangu maamuzi ya mahakama ya rufaa ya kukazia hukumu iliyotolewa na mahakama kuu katika kesi iliyohusiana na umri wa binti kuolewa ambapo serikali ilitakiwa kurekebisha sheria hiyo ili wasichana wasiolewe kabla ya kufikisha miaka 18. Lakini mpka sasa, bado serikali haijabadili hiyo sheria.
Je, unadhan nini kifanyike ili serikali ibadili sheria hiyo?
Je, unadhan nini kifanyike ili serikali ibadili sheria hiyo?