Ni Makosa makubwa Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais

Huyu mtu simply ni Mhalifu, japo anajificha kwenye kijisauti chake kile tunamwona kama Mcha Mungu vile.

Kwa miezi michache aliyokaa kama CG - TRA, Philip Mpango aliwatisha Wafanyabiashara na kuwafanya wengi wafunge biashara. Tabia hiyo aliendelea nayo akiwa Waziri wa Fedha.

Aliwatisha pia Wakuu wa Mashirika ya Umma na kuwaamuru kutoa Mabilioni ya Fedha kama Gawio Serikalini hata pale ilipokuwa ikijulikana Wazi mashirika mengi yalikuwa taabani kifedha - Jambo linalolalamikiwa na Rais Samia kwa Sasa.

Uharibifu wa Uchumi wote Uliofanyika Awamu ya 5, ulisimamiwa na Philip Mpango; Inakuwaje huyu mtu ndo anakuwa Makamu wa Rais?

Huyu pamoja na yule Mzee wa Benki Kuu, hawana hata chembe ya Uadilifu kuendelea kushikilia nyadhifa kubwa walizo nazo; kama tunaipenda nchi yetu hawa walipaswa kushitakiwa kwa Makosa anayoshitakiwa nayo SABAYA; SAD!
Acha wivu wewee
 
Kwani aliyepo juu yake yeye ndiyo msafi?Hao wote ni Msoga Jazz Band-walamba asali!

You have hit the nail on its head! Hao wote ni MSOGA jazz band; mtakumbuka kuwa Phillip Mpango alikuwa Ikulu kwenye kitenog cha uchumi enzi ya Jakaya hivyo akiwa VP itakuwa rahisi kwa Kikwete kupitisha mambo yake haswa haswa baada ya kumsimika huyo chief Hangaya kuwa RAIS!! Hii ndio sababu ya Kikwete kumpendekeza Mpango kuwa VP ili hali alikuwa na makandokando.
 
Back
Top Bottom