Bhaghosha
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 224
- 163
Wewe ndo mshamba na hujui unachojadili hapa, nyota hazijaanza Sasa, zilikuwapo toka zamani. lakini ili tujadili kwa usawa, niambie ni sababu ipi imepelekea kubadili hizi insignia. Kama ni kuendana na international standard unayoidai, basi nayo siyo sahihi, kwa sababu insignia za zamani ndiyo zinafuata mfumo wa kiingereza. Sasa kama nia ilikuwa Ni kubadilsha, hawakuzingatia utamaduni wetu. Jeshi linamiaka sasa, iweje ghafla wanabadilisha na kupuuza historia yote.Acha ushamba mkuu karibia majeshi mengi sasa generals wapo kwa mtiririko huo wa nyota brigedia nyota moja major jenerali nyota mbili luten jerani tatu na jenerali nne ..
Jeshi linaenda na wakati tu hivi vitu sio mbaya kama mkienda na identity ya international standard ..
Kwa wamarekani, wao hawana mbwembwe, Huyo mkuu angekuwa na nyota mbili tu mabegani bila ya mikasi wala ngao.