Ni lini Chama alimaliza dakika 90 kwenye mechi za watani wa jadi?

Naomba majibu
03C52D58-22D1-4C48-9A86-856C150DABC1.jpeg
 
Akijitahidi sana basi ni dakika ya 60, ulimi nje! Then Matola anambadilisha faster. Mwingine ni Kibu Denis.

Hawa viumbe huwa wanafanyiwa ukatili mwingi sana na yule kijana anayependa urojo! Feisal Salum aka Fei Toto byuti byuti, kiasi wanajikuta wanaruka ruka tu uwanajani
 
Baada ya gsm kuwa wafadhili na inapoelekea itakuwa wamiliki wa yanga bahasha zimewazuzua kabisa waandishi na wachambuzi wa habari za michezo. Wamekuwa ka mang'ombe yanaelekezwa tuu twende huku yanakwenda. Hizi ni mwendelezo wa propaganda za kishamba sana kutoka kwa baadhi ya watu wanaotumika. Kunaweza kukawa na ujinga umefanyika kuhusu yanga haya mang'ombe yatakaa kimya tu. Ila likifanyika the same kwa simba kutakuwa na makelele kila mahali mitandaoni. NI UJINGA TUU.
 
Akijitahidi sana basi ni dakika ya 60, ulimi nje! Then Matola anambadilisha faster. Mwingine ni Kibu Denis.

Hawa viumbe huwa wanafanyiwa ukatili mwingi sana na yule kijana anayependa urojo! Feisal Salum aka Fei Toto byuti byuti, kiasi wanajikuta wanaruka ruka tu uwanajani
Saana
 
Back
Top Bottom