Ni kweli Wilson Mukama anaandaliwa kumpokea Makamba?

Kweli nilimwona siku ile kwenye kipima joto cha ITV Mukama yuko vizuri kiukweli huwezi linganisha na Chiligati wala Mkuchika.
 
huyu mukama si ndio yule wa TPS waliokua wanakusanya parking fees? kama ndiye yeye, then anaendana sana na CCM, namkumbuka sana enzi za keenja

wampe waone utamu
 
Katibu mkuu awe Batilda Buriani au Sarah Msafiri.............lol, naona mnataja wanaume tu????nimeona nami nipendekeze,najua si suala la jinsia but si vibaya!:smile-big:
 
Katibu mkuu awe Batilda Buriani au Sarah Msafiri.............lol, naona mnataja wanaume tu????nimeona nami nipendekeze,najua si suala la jinsia but si vibaya!:smile-big:

usihofu... napendekeza Mchungaji Dr. Rwakatare
 
Katibu mkuu awe Batilda Buriani au Sarah Msafiri.............lol, naona mnataja wanaume tu????nimeona nami nipendekeze,najua si suala la jinsia but si vibaya!:smile-big:

Give me your full name so that I could make a recommendation, Lol. Hakuna sababu ya kuwapa watu hao wakati wewe upo na una uwezo, haaahaaaa.
 
Huyu Mzee ambaye alikuwa waziri wa utawala bora au mwingine? Mbona naona kama hana diplomasia katika handling ya mambo yake?

no. Hajawahi kuwa waziri, amekuwa katibu mkuu wizara ya afya then maji na amestaafu mwaka jana. Ila sidhani kama anakubalika na mafisadi. Chiligati, kinana most likely
 
pia Wilson Masilingi yumo kwenye dondoo za warithi wa makamba

Huyu Mzee ambaye alikuwa waziri wa utawala bora au mwingine? Mbona naona kama hana diplomasia katika handling ya mambo yake?

no. Hajawahi kuwa waziri, amekuwa katibu mkuu wizara ya afya then maji na amestaafu mwaka jana. Ila sidhani kama anakubalika na mafisadi. Chiligati, kinana most likely

polisi ..umekurupuka usingizini baada ya CDM kumaliza shughuli... alikuwa waziri utawala bora ofisi ya rais
 
no. Hajawahi kuwa waziri, amekuwa katibu mkuu wizara ya afya then maji na amestaafu mwaka jana. Ila sidhani kama anakubalika na mafisadi. Chiligati, kinana most likely

Kwani yeye si fisadi?, tunamkumbuka alipokuwa tume ya jiji yeye ndio aliyewapatia familia ya Kingunge miradi ya kukusanya kodi kule Ubungo na pia TPS...
 
huyo mukama si ndiye aliyepokea kijiti cha keenja baada ya kuvunjwa tume ya jiji la dar? alifanya nini kule zaidi ya kuprove kuwa keenja was unique performer?......... any way mtu aweza kuwa mbaya hapa akafaa kule, kama keeja alivyofaa jiji akafail uwaziri........... another proof of peters principle............
 
WanaJF,
Kuna tetesi zimezagaa mitaani kwamba Bw. Wilson Mukama ndiye anayeandaliwa kumpokea mpayukaji Makamba katika nafasi ya katibu mkuu wa ccm. Tangu wakati wa kampeni mwaka jana hadi sasa Bw. Mukama ambaye ni kada wa muda mrefu wa ccm amekuwa akijitokeza kwenye mijadala kwa njia ya luninga inayohusu mwenendo wa siasa hapa nchini. Ijumaa iliyopita Bw. Mukama alikuwa miongoni mwa wageni waalikwa kwenye kipindi cha TBC cha This Week in Perspective. Mjadala ulihusu miaka 34 ya ccm. Tafadhali wenye habari zaidi kuhusu tetesi hizi watujuze zaidi. Kama ni kweli je, huyu jamaa ana ubavu wa kushikilia kiti hicho au nae ni mpayukaji tu?
 
WanaJF,
Kuna tetesi zimezagaa mitaani kwamba Bw. Wilson Mukama ndiye anayeandaliwa kumpokea mpayukaji Makamba katika nafasi ya katibu mkuu wa ccm. Tangu wakati wa kampeni mwaka jana hadi sasa Bw. Mukama ambaye ni kada wa muda mrefu wa ccm amekuwa akijitokeza kwenye mijadala kwa njia ya luninga inayohusu mwenendo wa siasa hapa nchini. Ijumaa iliyopita Bw. Mukama alikuwa miongoni mwa wageni waalikwa kwenye kipindi cha TBC cha This Week in Perspective. Mjadala ulihusu miaka 34 ya ccm. Tafadhali wenye habari zaidi kuhusu tetesi hizi watujuze zaidi. Kama ni kweli je, huyu jamaa ana ubavu wa kushikilia kiti hicho au nae ni mpayukaji tu?[/QUOTE]

Kwa nini ufikiri kwa Cheo cha Katibu Mkuu na siyo Katibu mwenezi (yaani cheo cha Kapt. Chiligati?)
 
Back
Top Bottom